Ushauri: Nafasi ya Katibu wa Siasa, Itikadi, na Uenezi inamfaa Paul Makonda

Wajumbe

Senior Member
Jul 26, 2020
136
379
Huu ni ushauri tu kwa CCM, mimi ni mshauri huru, ni mtafiti huru, na msemaji huru.

Kwa hali ya mwamko mpya wa upinzani unakoelekea, mnahitaji watu wenye uwezo wa kujibu hoja na kushambulia. Nimejaribu kuwaza na kuchekecha vichwa vilivyopo upande wa CCM nawaona watu wawili nao ni Nape na Makonda.

Lakini katika uwezo wa facts Makonda ni best. Pia, ana uwezo mkubwa wa kuongea majukwani na mwenye ushawishi na ubunifu mkubwa. Hivyo kama CCM mnaweza kupokea ushauri fanyieni kazi ushauri huu msichelewe.

Kwa kushauri hivi sina maana Polepole hafai la hasha, ni kwamba Polepole amemudu vizuri katika upinzani bubu wa miaka mitano. Sasa upinzani umefanya usajili mpya wa Membe na Lissu. Usajili wa Lissu ni hatari sana kwa kipindi hiki.

Mkimteua Paul
Makonda kwenye hii nafasi mtaona mabadiliko makubwa katika idara hii

Wajumbe oyee
 
Kwa hali ya mwamko mpya wa upinzani unakoelekea, mnahitaji watu wenye uwezo wa kujibu hoja na kushambulia.

Nimejaribu kuwaza na kuchekecha vichwa vilivyopo upande wa CCM nawaona watu wawili nao ni Nape na Makonda.

Lakini katika uwezo wa facts Makonda ni best.Pia, ana uwezo mkubwa wa kuongea majukwani na mwenye ushawishi na ubunifu mkubwa. Hivyo kama CCM mnaweza kupokea ushauri fanyieni kazi ushauri huu msichelewe.

Kwa kushauri hivi sina maana Polepole hafai la hasha, ni kwamba Polepole amemudu vizuri katika upinzani bubu wa miaka mitano. Sasa upinzani umefanya usajili mpya wa Membe na Lissu. Usajili wa Lissu ni hatari sana kwa kipindi hiki.

Mkimteua Makonda kwenye hii nafasi mtaona mabadiliko makubwa katika idara hii

Wajumbe oyee
Akuchaguliaye tusi hakuambii toka!
 
Katibu wa itikadi na uenezi anao uwezo na madaraka ya kumfokea mwanachama wake anayefanya kazu kama waziri.

Bashite atawatukana sana mawaziri, makatibu wakuu, wakuu wa mikoa hata kina diwani na sirro.

Yule zerooooo, hafai
 
Je, wataweza 'Kukubaliana' na aina yangu ya Kufanya 'Propaganda' na 'Spinning' ambayo kamwe haijawahi kutokea ndani ya CCM yako hiyo Mkuu?
Ccm ni chama chenye watu wenye open mind, tunaweza kufanya kazi na mtu yoyote hata Tundu Lisu akiwa tayari, tunaweza kumpa kazi Lumumba.
 
Huu ni ushauri tu kwa CCM, mimi ni mshauri huru, ni mtafiti huru, na msemaji huru.

Kwa hali ya mwamko mpya wa upinzani unakoelekea, mnahitaji watu wenye uwezo wa kujibu hoja na kushambulia. Nimejaribu kuwaza na kuchekecha vichwa vilivyopo upande wa CCM nawaona watu wawili nao ni Nape na Makonda.

Lakini katika uwezo wa facts Makonda ni best. Pia, ana uwezo mkubwa wa kuongea majukwani na mwenye ushawishi na ubunifu mkubwa. Hivyo kama CCM mnaweza kupokea ushauri fanyieni kazi ushauri huu msichelewe.

Kwa kushauri hivi sina maana Polepole hafai la hasha, ni kwamba Polepole amemudu vizuri katika upinzani bubu wa miaka mitano. Sasa upinzani umefanya usajili mpya wa Membe na Lissu. Usajili wa Lissu ni hatari sana kwa kipindi hiki.

Mkimteua Paul
Makonda kwenye hii nafasi mtaona mabadiliko makubwa katika idara hii

Wajumbe oyee
wampee kibajaji yule jamaa ana mipasho hatari au ole sendeka yule mzee yuko vizuri
 
Hiyo nafasi Inahitaji mtu matured na alietuliza kichwa ., its a big NOooooooo kwa Makonda
 
Back
Top Bottom