Lord Diplock MR
JF-Expert Member
- Mar 16, 2015
- 1,393
- 3,234
Wengine wanaweza kudhani kwamba Makonda ndiyo basi kabisa kisiasa, wasichokijua ni kwamba Magufuli hana tatizo kabisa na Makonda kilichofanyika ni mchezo tu wa kisiasa.
Ipo wazi na bayana kuwa Makonda kwenda kugombea Kigamboni alienda na Baraka zote za mzee, na hii inajidhihirisha pale Ndugulile alipotumbuliwa bila sababu ya kueleweka. Kutumbuliwa kwa ndugulile ilikuwa mkakati wa kummaliza nguvu pengine walidhani atakuwa mwepesi bila kuwa naibu Waziri.
Sasa plan ya baba na mwana imefeli what is next? Mzee hawezi kumrudisha Makonda wakati huu kwenye system maana anajua hiyo itamkosesha kura nyingi sana Oktoba. Hii ni kwa sababu ipo wazi kuna watu wanamchukia baba kwa sababu ya mtoto hivyo ujinga wa mtoto umemfanya baba kuchukiwa. Kama baba atajifanya kumsusa mtoto now basi atapata kura nyingi za wale walikuwa wanamchukua baba kwa sababu anamkingia kifua mtoto.
Hivyohivyo hawezi kulikata jina la ndugulile na kumweka mwanaye maana itamletea chuki pia na inawezekana wote mzee na mwanaye wakapoteza kura nyingi.
Kitakachofanyika ni mzee kujikausha sasa ila baada ya uchaguzi Makonda atapewa nafasi nyeti sana na mzee atakuwa hana cha kupoteza.