Baraza jipya la Mawaziri litakuwa na utendaji wenye tija kwa Watanzania?

Kinkunti El Perdedo

Senior Member
Nov 28, 2020
177
500
Rais JPM tayari kasha fanya uteuzi wa baraza lake la mawaziri na manaibu waziri,wengine wakirudi katika sura tofauti yaani kubadilishiwa wizara mfano Mh.Ummy Mwalimu, wengine kubaki katika nafasi zao zile zile mfano prof.Joyce Ndalichako na wengine kutorudi kabisa mfano Dk.Hamis kigwangala katika nafasi zao hivyo kubaki katika nafasi za ubunge wa majimbo yao.

Pia kuna sura mpya katika baraza la mawizi mfano prof.Kitila Mkumbo nk.

Je,kwa sura mpya na walio kuwepo licha kwamba wamebadilishiwa viatu katika utendaji na wengine kubaki katika majukumu yao ya awali ,Watanzania wategemee utendaji wenye tija kwa maslahi ya taifa kwa sura hii ya baraza la mawaziri?

Karibuni GT

El perdode
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom