Anasema ile sheria inayozuia mtu asiye mwalimu mkuu kuadhibu wanafunzi kwa viboko imekosewa.
Rais Magufuli amesema haya...
Nilikuwa nazungumza na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, nikamwambia ulitakiwa...
TUUTATHIMINI USHIRIKIANO WETU NA ISRAEL.
Kuna haja ya kutathmini uhusiano wetu na Israel. Na ikiwa tunataka mashirikiano na Taifa hilo lisilo na mipaka rasmi ya kijiografia, ni vema tukawa na...
Kwanza kabisa naomba kukiri kwamba mimi ni miongoni mwa wafanyabiashara wa Tanzania wanaofanya biashara za Kimataifa kwa Mafanikio , hivyo nafahamu biashara hasa na najua kwamba sisi...
Mhe. Halima Mdee na wabunge wenzake 18 wa Chadema waliopatikana kwa njia ya viti maalum wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kula kiapo jijini Dodoma hivi karibuni
Halima Mdee, alikuwa...
Tumehamia Dodoma.
Ndoto ya muda mrefu imetimia. Mji wa Kiserikali utakuwa eneo linaloitwa Mtumba.
Kwa maana ya neno "mtumba" ni kitu kilichotumika sio kipya anuani zote za serikali kuonekana...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemteua Bwana Suleiman Ahmed Salum kuwa Katibu wa Rais.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Katibu wa Baraza la...
Habari wanajamvi!
Tukumbuke ni kitambo sisi tangu uchaguzi ufanyike tarehe 28/10/2020 ila ukistaajabu ya Mussa unaweza kuyaona ya Firauni.
Nasikia kuna viongozi bado wanajizungusha tu mitaani...
Mtangulizi wako Dkt. Mwakyembe hakuwa na sababu zozote za maana za kutuambia kuhusu kuondolewa kwa Chanel za habari za ndani yaani ITV na Star TV katika king'amuzi cha DSTV hivyo kulazimika watu...
Mabibi na mabwana kwa kuziangalia nchi za East Africa (EA) sisi kama Tanzania tuna kufanana zaidi na Uganda tukijilinganisha na wengine. Labda hata tungefikiria Muungano mwingine nchi ya tatu sasa...
Wanabodi! Iko hivi
Wakati wa janga la Corona shule na vyuo vilifungwa, wamiliki wa Shule Binafsi wakaiambia Serikali kuwa hawana pesa kwa kuwa wazazi hawakulipa ada na kuwa hakuna...
Aliyekuwa mbunge wa Iringa mh Msigwa amewashukia na Seif. Peter Msigwa: "Sisi hatuwashawishi Wananchi ili tupate ajira bali tunataka Demokrasia ifanye kazi, sisi tukitaka ubunge tunapata tu hata...
RAIS John Magufuli amemtaka Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi, kuwapunguzia mishahara watumishi wote waliokuwa wakifanya kazi Wakala wa Ukaguzi wa Madini (TMAA) ambao umefutwa na...
Kumekuwa na madai mengi ya wapinzani kuwa maisha yao yapo hatarini kwa kuwa wanatishiwa maisha na "watu wasiojulikana"
Imefikia hatua ya viongozi wetu wa upinzani, hususani wa Chadema, kuikimbia...
HILI LA KUKATISHA LIKIZO MWEZI DESEMBA ILI KUMALIZIA VYUMBA VYA MADARASA LITAFUTIWE MAJAWABU.
Na Elius Ndabila
0768239284
Imekuwa kawaida sasa kuona viongozi wakisisitizwa kuto kwenda likizo...
Nimekuwa nikifuatilia siasa zetu za Tanganyika na Zanzibar toka tumalize uchaguzi mkuu Oktoba 2020, kwanza nimeona mivutano baina ya upinzani na ccm hasa chadema Baada ya uchaguzi kususia...
Awamu ya Tano imeonekana ni Awamu ya Maridhiano na Kauli mbiu ya maendeleo hayana chama, Au nasema uongo jamaniiiiii.. Hii ni orodha ndefu ya Makamanda wa Upinzani waliopewa nafasi
1- Albert...
Akiongea na Darmpya, mchungaji Msigwa amekosoa vikali hatua ya Maalim Seif na Zitto Kabwe kujiunga na serikali ya umoja wa kitaifa huko Zanzibar, Mchungaji Msigwa amekiita kitendo hicho kama ni...
Habarini za Leo ndugu na marafiki
Leo nimekuja na sifa ambazo viongozi wakuu huzizingatia wakati wa kuteua wasaidizi wao.
Mfano Rais anapochaguliwa tu, moja ya jukumu lake huwa ni kuteua...
Hili halina ubishi 85% ya wabunge wapo mjengoni kupitia mgongo wa Rais Magufuli, maana wengi wamechaguliwa kwa huruma za wananchi baada ya Rais kuwapigia debe majukwaani. Wao kama wao wasingetoboa...