Benson Mramba
JF-Expert Member
- Oct 29, 2013
- 644
- 1,482
Sijasikia zuio la mikutano katika awamu hii ya pili ya Mzee Magufuli. Ila wapinzani wameendelea kufurahia zuio maana liliwapa unafuu wa maisha na wajibu.
Jinsi mataifa ya nje yanavyotutolea macho naamini mikutano awamu ni ruksa. Ila vyama vya upinzani havionyeshi upinzani wowote hata kwa makatazo wanayodai ni batili je nao ni sehemu ya mtawala?