Je, kama Taifa tupo salama kuwa na wabunge wenye vyeti feki waliowahi kufukuzwa kazi kwa kufoji?

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi.

Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni mbunge.

Najua bungeni inatakiwa ujue kusoma na kuandika, hii ni kwa mujibu wa katiba ya JMT, lakini kuruhusu watu ambao walishafanya jinai ya kughushi watinge bungeni tunapata picha gani kwa usalama wa taifa letu?

Mojawapo ya kazi ya bunge ni kusimamia serikali hasa kwenye ishu za mikataba inayohusu rasilimali za watanzania. Je mtu kama alifoji cheti na sasa ni mbunge hapa tutapona?

Je chama kilichompa ridhaa kugombea ubunge na kisha akawa mbunge kipo makini? Maana ni aibu kupitisha mtu ambae alishafanya jinai kama hii ya kufoji ili azame bungeni.

Ni hayo tu wana JF.
 
Hii inafikirisha! Tatizo ni uchambuzi wa wagombea ndani ya vyama. Siasa imekuwa ni kama zoa zoa tu. Kumbuka tulipata mkuu wa mkoa aliyekuwa na kesi ya jinai na alipoteuliwa tu, kesi yote ikapotea. Ni suala la uaminifu na uimara wa akili kwa wahusika, badala ya ushabiki.
 
Tulieni dawa iwaingie. Sasa hv ni ccm kuanzia mitaa mpaka Ikulu. Acheni kuleta mambo ya kiseng* fanyeni kazi tuingie uchumi wa kati wa juu kabla ya 2025
 
Wewe umezuiwa kwenda kufanya kazi? Hii sio sababu ya kutuzuia tusijadili mambo yanayotuhusu we Kxxx
 
Hii inafikirisha! Tatizo ni uchambuzi wa wagombea ndani ya vyama. Siasa imekuwa ni kama zoa zoa tu. Kumbuka tulipata mkuu wa mkoa aliyekuwa na kesi ya jinai na alipoteuliwa tu, kesi yote ikapotea. Ni suala la uaminifu na uimara wa akili kwa wahusika, badala ya ushabiki.
Sijakuelewa.
 
Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi.

Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni mbunge.

Najua bungeni inatakiwa ujue kusoma na kuandika, hii ni kwa mujibu wa katiba ya JMT, lakini kuruhusu watu ambao walishafanya jinai ya kughushi watinge bungeni tunapata picha gani kwa usalama wa taifa letu?

Mojawapo ya kazi ya bunge ni kusimamia serikali hasa kwenye ishu za mikataba inayohusu rasilimali za watanzania. Je mtu kama alifoji cheti na sasa ni mbunge hapa tutapona?

Je chama kilichompa ridhaa kugombea ubunge na kisha akawa mbunge kipo makini? Maana ni aibu kupitisha mtu ambae alishafanya jinai kama hii ya kufoji ili azame bungeni.

Ni hayo tu wana JF.
Tufuatilie pia je alishika nafasi ya ngapi kwenye kura za maoni.kama ali tupwa mbali halafu kamati kuu ikamrudisha basi tuimulike tuitathmini hiyo kamati.Ila kama ni wajumbe basi tuendelee kuitathmin uwelid wa hiyo kamti kuu,maana tulitegemea iwe na inteligencia ya kujua pia maadili ya wagombea ubunge.kama huyo amepenya ni dhahili kuwa kamati kuu ilikuwa na Interest zake binafsi juu ya aina ya wabunge inao wataka
 
Sawa kabisa.
 
Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi.

Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni mbunge.

Najua bungeni inatakiwa ujue kusoma na kuandika, hii ni kwa mujibu wa katiba ya JMT, lakini kuruhusu watu ambao walishafanya jinai ya kughushi watinge bungeni tunapata picha gani kwa usalama wa taifa letu?

Mojawapo ya kazi ya bunge ni kusimamia serikali hasa kwenye ishu za mikataba inayohusu rasilimali za watanzania. Je mtu kama alifoji cheti na sasa ni mbunge hapa tutapona?

Je chama kilichompa ridhaa kugombea ubunge na kisha akawa mbunge kipo makini? Maana ni aibu kupitisha mtu ambae alishafanya jinai kama hii ya kufoji ili azame bungeni.

Ni hayo tu wana JF.
Yeye mwenyewe kafoji phd
 
Tuliambiwa Na Mkulu Kama Anaweza Kueleza Matatizo Ya Wananchi Hatuhitaji Degree
 
Taifa linapokuwa na mkuu wa nchi msemakweli linakuwa ni taifa zuri, maana hamumunyi maneno bali anaweka mambo wazi.

Alipokuwa anawaapisha mawaziri wa wa cabinet ya Tanzania mkuu wa nchi yetu alisema kuna mbunge alifukuzwa kazi kwenye paranja la vyeti feki lakini kwa zali la mentali sasa ni mbunge.

Najua bungeni inatakiwa ujue kusoma na kuandika, hii ni kwa mujibu wa katiba ya JMT, lakini kuruhusu watu ambao walishafanya jinai ya kughushi watinge bungeni tunapata picha gani kwa usalama wa taifa letu?

Mojawapo ya kazi ya bunge ni kusimamia serikali hasa kwenye ishu za mikataba inayohusu rasilimali za watanzania. Je mtu kama alifoji cheti na sasa ni mbunge hapa tutapona?

Je chama kilichompa ridhaa kugombea ubunge na kisha akawa mbunge kipo makini? Maana ni aibu kupitisha mtu ambae alishafanya jinai kama hii ya kufoji ili azame bungeni.

Ni hayo tu wana JF.
Sifa ya ubunge nikujua kusoma na kuandika tu,vyeti ni mbwembwe tu.....

Ila tutahangaika Sana kufikia malengo yetu kama taifa
 
Back
Top Bottom