Uchaguzi 2020 Charles Hilary chukua fomu ya Ubunge Jimbo la Kibamba hakika utashinda kwa kishindo

Dam55

JF-Expert Member
Oct 8, 2015
5,592
11,831
Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.

Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.

Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.

Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
 
Hivi wewe dogo unakuwaga na matatizo gani? Kwa hiyo hilo bunge ndio la kupeleka wastaafu? Mtu kafanya kazi mpaka kachoka, ww ndio unaona aende bungeni!
 
Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.

Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.

Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Kwanini usigimbee wewe?!
 
Aisee baada ya ile kauli ya "wewe gombea tu ukishindwa tutaangalia nafasi nyingine" naona kila mtu anataka kutupa ndoano baharini.
Wangalieee wasifilisike tu maana kugombea nafasi hzi ni kamali ohooooo

Ova
 
Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.

Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.

Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
CCM ilitakiwa kufutwa kabisaaaa, bora hata kuwe lichama lingine lililoundwa na wanaccm kuliko kuendelea kuwepo na liccm.
 
Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.

Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.

Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Licha tu ya kuwa ccm hawafai, waandishi wa habari wametuangusha sana kama yule Juma Mkamia, nk wamekuwa vituko.
 
Haya Sasa Huu Ndiyo Muda Pekee Wa Kujipitisha Kwenye Majimbo
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Bila kificho wala unafiki ningekushauri ndugu yangu Charles Hilary kuwa huu ndio wakati wako sasa kuwatumiakia watanzania baada ya kustaafu utangazaji kwa mafanikio makubwa, utashi na busara yako bado tunaihitaji watanzania ituletee faida.
Hivyo basi ni wakati sahihi wa kuchukua form ya Ubunge na jimbo linalo kufaa ni Kibamba kwa kuwa ndipo unapoishi na unakubalika sana.

Ushauri kwa CCM kama kweli mna nia ya dhati ya kulichukua Jimbo la Kibamba na kumuondoa John Mnyika basi huyu Charles Hilary ndio chagua sahihi ni mtu mwenye ushawishi mkubwa na anapendwa na wengi.

Nini maoni yenu Wana JF tunaihitaji huduma ya Charles Hilary kwenye bunge lijalo?
Na si bunge tu mana ninahakika akiingia bungeni hatokosa kuwa waziri huyu.
Kwa kuwa wewe ndio utapiga kura,utahesabu na kutamtangaza
 
Nchi hii wajinga hamuoneshi dalili yakupungua! kwanini mnadhani Bungeni ni kijiwe cha wastaafu
 
Hapana sio kwamba ni ujinga ila inaonekana tu Kuna kitu binafsi ambacho wewe hukipendi hapo.
 
Na ukurugenzi wa radio Azam fm amuachie Nani?
Unacheza na ukurugenzi kwa bahresa?
Mkwanja mrefu anavuta pale.
 
Charles alihojiwa pale clouds+ akasema yeye hana interest na mambo za siasa kabisa,akaulizwa na vipi rais akikuteua kwny mambo ya siasa?

Akajibu sasa hilo ni jambo lingine lkn kamwe hutakuja kunisikia nimechua form kugombea cheo chochote kile.
 
Back
Top Bottom