Uchaguzi 2020 Zitto mnafiki na ataenda motoni kwa kuwafanyia wenzake Huu Uhuni. Membe akija pata akili patachimbika

Mtu Asiyejulikana

JF-Expert Member
Sep 11, 2017
1,694
3,981
Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni.

This time wameenda mdanganya Membe Bernard. Mgombea asiye na mvuto kuwahi kuja kutokea katika vyama vyenye wafuasi zaidi ya mil 1.

Bernard Membe hana mvuto kisiasa hajui kuongea. Si mwanasiasa.si smart ktk siasa.huo ni ukweli. Ila Zitto Kabwe kamsukuma nenda kagombee utaungwa mkono.

Msikilize Membe anapohutubia anakera...jamaa unawaza aliwezaje kuwa kachero hata hesabu ya 1+1 inamsumbua hivi? Membe hana mvuto. Huwezi msikiliza membe. Na ni joka la kibisa. Hana meno hawezi hata kummeza mnyama.linakula unga linalala.

Siku Membe akina gundua alichofanya Zitto Kabwe kwake atalaani sana.naami kuna siku atapata akili.kwa sasa bado kujielewa.
 
We jamaa bana, Membe ndio ameomba agombee, tangia hata hajajiunga na ACT alikuwa anasema atagombea Urais, Tena alitaka Upinzani uungane wampe yeye

Na Hili Swala la Membe kukosa mvuto lishajadiliwa hapa Sana nami nikaliunga mkono, Ila ukichosea wewe umemtukana

mkosoe Kistaarabu sio matusi haya
 
Who cares what chu say about ACT?

ACT belongs to them and they are the ones running it....they are qualified to make decisions for ACT,you are not,no matter how good your decision is!

Keep it and sit on that shit!
 
Mn
Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee...yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni.

This time wameenda mdanganya Membe Bernard. Mgombea asiye na mvuto kuwahi kuja kutokea katika vyama vyenye wafuasi zaidi ya mil 1.

Bernard Membe hana mvuto kisiasa....hajui kuongea. Si mwanasiasa.si smart ktk siasa.huo ni ukweli. Ila ZITTO KABWE Kamsukuma nenda kagombee utaungwa mkono.

Msikilize Membe anapohutubia...anakera...jamaa unawaza aliwezaje kuwa kachero hata hesabu ya 1+1 inamsumbua hivi? Membe hana mvuto. Huwezi msikiliza membe. Na ni joka la kibisa. Hana meno hawezi hata kummeza mnyama.linakula unga linalala.

Siku Membe akina gundua alichofanya Zitto Kabwe kwake atalaani sana.naami kuna siku atapata akili.kwa sasa bado kujielewa.
Mnajisumbua tu Membe kiboko ya ccm.
 
Si tuu unafiki pia ni ka binafsi, kenyewe kanaangalia tumbo lake (jimbo) uraisi ambao anajua kwa asilimia 100 hawezi shinda anawasukumizia wengine
 
Bora Membe yupo maana Lissu anaenguliwa na tume mapema sana
vipi wewe mkuu mungu akikuengua kabla ya lisu kuenguliwa na tume na husipate cha kusimulia, acheni kupenda kuwaombea mabaya au vipi mgombea wa ccm akienguliwa na tume nayo utasemaje ? tulisha sema wagombea wote waliochukua form tume wana sifa na ndo maana wakapewa , hakuna kuengua mtu waachwe waenguliwe na wananchi ambao ndo wahajili wakuu basi
 
Ubarikiwe sana kiongozi kwa mchango wenye tija kwa mustakabali wa taifa letu.
 
Si tuu unafiki pia ni ka binafsi, kenyewe kanaangalia tumbo lake (jimbo) uraisi ambao anajua kwa asilimia 100 hawezi shinda anawasukumizia wengine
Zitto nasemaga kila siku kuwa anapenda sana kuvimbisha kifua sana na mtu kama huyo ni hatari na mbinafsi.

Lkn kwa sababu tunahitaji kumg'oa kaburu mweusi basi wacha tushikane mikono na maisha yaendelee
 
Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee...yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni.

This time wameenda mdanganya Membe Bernard. Mgombea asiye na mvuto kuwahi kuja kutokea katika vyama vyenye wafuasi zaidi ya mil 1.

Bernard Membe hana mvuto kisiasa....hajui kuongea. Si mwanasiasa.si smart ktk siasa.huo ni ukweli. Ila ZITTO KABWE Kamsukuma nenda kagombee utaungwa mkono.

Msikilize Membe anapohutubia...anakera...jamaa unawaza aliwezaje kuwa kachero hata hesabu ya 1+1 inamsumbua hivi? Membe hana mvuto. Huwezi msikiliza membe. Na ni joka la kibisa. Hana meno hawezi hata kummeza mnyama.linakula unga linalala.

Siku Membe akina gundua alichofanya Zitto Kabwe kwake atalaani sana.naami kuna siku atapata akili.kwa sasa bado kujielewa.
😃😃😂😂Nimecheka kama mazuri,aisee zito sio mtu mzuri ni mjanja mjanja sana wa kusoma alama za nyakati.😂😂yeye ni kusukumiza tu wenzie kupima kina cha maji 😂😂raha Sana.
 
Mwaka 2015 alimdanganya mama Anna Ngwila agombee...yeye akakaa pembeni kucheck movie ya Ugombea. Lengo ajenge chama kwanza.halafu ajiwekee nafasi huko mbeleni.

This time wameenda mdanganya Membe Bernard. Mgombea asiye na mvuto kuwahi kuja kutokea katika vyama vyenye wafuasi zaidi ya mil 1.

Bernard Membe hana mvuto kisiasa....hajui kuongea. Si mwanasiasa.si smart ktk siasa.huo ni ukweli. Ila ZITTO KABWE Kamsukuma nenda kagombee utaungwa mkono.

Msikilize Membe anapohutubia...anakera...jamaa unawaza aliwezaje kuwa kachero hata hesabu ya 1+1 inamsumbua hivi? Membe hana mvuto. Huwezi msikiliza membe. Na ni joka la kibisa. Hana meno hawezi hata kummeza mnyama.linakula unga linalala.

Siku Membe akina gundua alichofanya Zitto Kabwe kwake atalaani sana.naami kuna siku atapata akili.kwa sasa bado kujielewa.

Kwani CHADEMA ugomvi wenu na Zitto haujaisha tu?

Kama Membe hana mvuto si ndiyo vizuri atawasindikiza Lissu na Magufuli nyinyi mnapata kero gani? Waacheni ACT wapambane kajenga chama chao.
 
We jamaa bana, Membe ndio ameomba agombee, tangia hata hajajiunga na ACT alikuwa anasema atagombea Urais, Tena alitaka Upinzani uungane wampe yeye

Na Hili Swala la Membe kukosa mvuto lishajadiliwa hapa Sana nami nikaliunga mkono, Ila ukichosea wewe umemtukana

mkosoe Kistaarabu sio matusi haya
Kamtukanaje?
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom