johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 82,754
- 139,560
Na huo ndio ukweli mchungu.
Pamoja na tofauti za kiitikadi bado naiona Chadema ikiwa imara hata kama ina mbunge mmoja tu wa kuchaguliwa.
Kimsingi mbunge mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko wabunge 100 waliopita bila kupingwa, na hii ni kanuni ya kiisrael kwamba kiongozi mmoja wa kuchaguliwa ni bora kuliko viongozi 100 waliojichagua wenyewe.
Kwa mapito inayopitia Chadema na ukweli kwamba bado " inadunda" ni ishara tosha kuwa wana spirit ya mabadiliko hata kama wakati bado haujafika.
Kadhalika mzee Hashim Rungwe hakuonyesha kuyumbishwa na CCM pamoja na udogo wa chama chake cha Chauma.
Huyu kweli ni Muha wa Kigoma tofauti na yule Zitto Kabwe wa ACT wazalendo au Kafulila wa CCM ambao ni bendera fuata upepo.
Nawatakia wanaJF wote Heri ya Mwaka mpya 2021.
Maendeleo hayana vyama!