UTEUZI: Rais wa Zanzibar, Dr. Mwinyi ateua Katibu Mkuu Kiongozi Mpya

GeoMex

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
5,431
19,776
Engineer Zena Ahmed Said kutoka Wizara ya Nishati ateuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi na Katibu wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar
Screenshot_20201231-210958_1609438328479.jpg

Bi Zena Ahmed Said(Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati)View attachment 1664225
 
A.Mzee ametoa taarifa inayomhusu yeye na sahihi yake kupigwa chini kistaarabu kustaafu.Kila zama na kitabu chake.
Kiroho safi yani anapumzika baada ya utumishi uliotukuka wenyewe wanaita.
 
Back
Top Bottom