Wakuu wanajf,
nalazimika kuwauliza leo kuhusu wasomi wetu hapa bongo. Hasa swali langu linahusisha uwezo wao wa kufikiri na kuamua.
Nimekuwa nikifuatilia mara kadhaa pale linapotokea suala la kitaifa or kimataifa ambalo lingehitaji wasomi wetu watoe tafsiri ya mambo huwa siwaoni. Pia yanapotokea maswala ambayo yanahitaji wasomi wawafumbue macho wajinga unakuta nao wamehusika . Natoa mifano mitatu tu kwakuwa sina muda wa kutosha:-
1. Ujio wa deci; walioliwa wengi ni pamoja na maprofessor wa uchumi
2. Babu wa loliondo; amekula pamoja na madaktari na maprof na wasomi wenye degree zao
3. Mafuta ya ubuyu nk.. Wasomi kadhaa wamekunywa bila hata kuhitaji scientific evidence ya ubora wake
4. Maisha ya mtaani wengi wasomi wanaishi na kufanya shughuli zile zile za wasiosoma. Mfano wote tunafungua bajaji na boda boda, cosmetics, staionaries.. Ningetegemea wasomi hasa wa uchumi na biashara watupe mfano sisi mburula.
5. Ukienda kwa bagamoyo ushirikina pamoja na wasomi wanaogombea vyeo wamo kibao.
Sasa huwa nashindwa kupata jibu as to what has happened with their education? Nimeshuhudia kwamba hii haijalishi kasoma bongo or kaja kutoka ughaibuni. Kwakuwa humu jf wamo pia nawauliza maana ya kujidhalilisha nini chanzo cha haya yote? Mmekariri au mlisomea vyeti, au mmelogwa au wavivu wa kujiendeleza na kubuni mambo ? Au ... Au ... Au .. Hamkuelimika?
Mandokwa