Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Salamu kwenu wanajukwaa, Mara baada ya salamu nina swali kwetu sote jukwaani je huwa tunatabia ya kuangalia Salary slip zetu kweli? Serikali ilifanya changes katika PAYE na hivyo kupunguza...
3 Reactions
112 Replies
8K Views
Greetings! Nia ya President JPM ya kuifanya Dodoma kuwa capital city kwa vitendo was great. Ninaomba afanikiwe. Jiji la Dodoma ni kubwa geographically na ni zuri ki-usalama na kwa serikali kukaa...
7 Reactions
19 Replies
3K Views
Kuna mwaka niliwahi kukutana na mzee mmoja alikuwa akisoma gazeti la Mwanahalisi, kipindi lipo hot kuibua ufisadi na madudu ya awamu ya nne. Mimi kama mtu mdadisi nilimuuliza swali moja, mzee...
5 Reactions
83 Replies
7K Views
Wana JF na Watanzania wenzangu nadiriki kusema kuwa Rais aliyeko madarakani ameshindwa kuiongoza JMT na kwa hivyo anapaswa ajiuzulu au aondolewe kwa Nguvu ya Bunge yaani IMPEACHMENT. Nimeamua...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ukisoma ule waraka wa Media plan-eti wa kutangaza katiba ili wananchi waweze kuipigia kura ya ndiyo, moja ya malengo ni kwamba:---- "Kuiepusha serikali na aibu ikiwa wananchi wataamua kuipigia...
9 Reactions
172 Replies
15K Views
Hivi kinachofanywa na Utawala wa Rais Trump Fujo na Ukatili wa Kidemokrasia huku Kwetu Afrika hatuyaoni? Kwanini tumelinyamazia hili la sasa?
1 Reactions
44 Replies
3K Views
Uchaguzi wa Marekani umemalizika rasmi leo usiku kwa Rais mteule Joe Biden kuthibitishwa na mabunge yote mawili kuwa rais wa nchi hiyo baada ya rais Trump kwa kipindi cha miezi miwili kuhangaika...
24 Reactions
106 Replies
8K Views
Nimefurahi sana kwa kuona uteuzi wako na nina amini ukifanya kazi kwa kutaka kubadilisha sura ya uwekezaji nchini Tanzania najua utaweza. Nchi yetu ina uwezo wa kukaribisha uwekezaji mpaka...
7 Reactions
70 Replies
7K Views
Dar es Salaam. Wakati pazia la kampeni za kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba likisubiri kufunguliwa kesho, Rais Jakaya Kikwete amesema Serikali haitasita kufungia chombo cha habari kitakachotumia...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Hakuna anayeweza kupinga kwa hoja kwamba kwa sasa ndani ya CCM Tishio namba moja kwa JPM ni Kachero Mbobezi Bernard Kamiliusi Membe.. Huyu mtu Sifa zake Zinakaribia kufanana Sana na za...
39 Reactions
229 Replies
23K Views
Good afternoon. It gives me great pleasure to visit Chato, the hometown of President John Magufuli. I appreciate the hospitality shown to my delegation by our Tanzanian hosts. We are pleased to...
1 Reactions
1 Replies
736 Views
Pamoja na nchi za Afrika kutaka kujitegemea ila viongozi wake wamekuwa wepesi sana kutaka sifa za kijinga kwa kununua au kukopeshwa fedha kupitia miradi ambayo hugeuka mzigo kwa wananchi...
6 Reactions
30 Replies
3K Views
Kabisa kabisa hatupo mbali, kwa muelekeo na Gia tuliyoondoka nayo baada ya Uchaguzi uliolalamikiwa na Vyama vya Upinzani. Yaani kama mheshimiwa baba wa Taifa JPM utamfananisha na gari sijui awe...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Awamu hii ya uongozi wa taifa hakika itatuletea maendeleo kama taifa. Kale kamsemo ka kiswahili ka kulinda uzembe na ufisadi eti 'kosa la kwanza sio kosa' kameenda likizo au katakua kamekufa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Juma lililopita Kampuni ya Utafiti wa Uchumi na Fedha, Moody ilitoa kiwango cha daraja la ubora katika ukopeshekaji (credit rating) na kuipa Tanzania B1 pamoja na hati chafu. Viongozi mbalimbali...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Bunge ndiyo linatunga sheria lakini mimi nimeona sehemu kubwa miswada huwa inatoka wizarani au kwenye taasisi za serikali. Sijawahi sikia mbunge ametoa mswada na baadaye umekuwa sheria. Imewahi...
2 Reactions
18 Replies
2K Views
guest-1786390423
Nyakati zimebadilika, hili ni jambo la kweli kabisa. Lakini asili ya mwanadamu haijabadilika. Wanadamu kwa asili yetu ni wabinafsi, tunapenda kuwa na power. It feels good unapotoa amri na watu...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Mkuu wa mkoa wa Arusha, Iddy Kimanta amemvaa vikali mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Gambo kutokana na kauli ambazo amekuwa akizitoa za kutetea watu wasilipe Kodi na hivyo kuikosesha mapato serikali...
0 Reactions
27 Replies
6K Views
Watumishi katika Wilaya ya Tanganyika mkoani Katavi, wameingia matatani baada ya kudaiwa kulipana posho Sh. milioni 16.177 ambazo ni kati ya Sh. milioni 200 zilizotolewa na Rais John Magufuli kwa...
1 Reactions
14 Replies
3K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAASISI YA KUZUIA NA KUPAMBANA NA RUSHWA TAARIFA KWA UMMA Januari 6, 2021 TAKUKURU KAGERA YAOKOA WIZI WA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI MIA TATU MALI YA MFUKO WA...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…