Investing/ A growing Dodoma: I think President JPM hajaeleweka kuhusu mapato ya ardhi na nyumba

Fatma-Zehra

Senior Member
Oct 18, 2020
192
1,062
Greetings!

Nia ya President JPM ya kuifanya Dodoma kuwa capital city kwa vitendo was great. Ninaomba afanikiwe. Jiji la Dodoma ni kubwa geographically na ni zuri ki-usalama na kwa serikali kukaa hapo tofauti na a notable commercial city like Dar. My intention is to advise the CiC kuhusu viwanja, nyumba and other related investments. Let me admit for sure, and openly that for the first time, I have seen a president ambaye yuko serious katika kubana rushwa and in developing systems that seek kutokomeza upuuzi katika ukusanyaji wa mapato na pia kuwabinya "vibaka na wezi wakubwa".

Dodoma ilipima viwanja vingi sana. Watu wengi walinunua na wanaendelea kujenga. Kuna maeneo ambayo Jiji lilipima na kuuza. Hata hivyo, jiji halijafanikiwa kuuza viwanja vyote. Hata makampuni binafsi hayajaweza kuuza viwanja vyote. I strongly believe that shida kubwa siyo pesa. Big no. Shida ni miundombinu na tabia ya majiji au municipals ku-embrace au kufumbia macho au failure to discourage informal settlements.

1. Miundombinu
Miundombinu kama maji na umeme ni major drivers wa settlement development. Kuna viwanja vimepimwa kutoka Nala hadi Mtumba. Unfortunately, viwanja vingi havifikiki although, if truth be spoken, vimepimwa na kupangwa kwa ustadi wa hali ya juu sana. Imagine, a lot of investments made by our president pale Ikulu Chamwino. Look at the great government city ambayo JPM kamwaga hela. These investments are likely to attract a lot of investors wa private institutions kama schools, health facilities, and hotels. Kuna faida kubwa sana za kibiashara kuishi karibu na government city na state house.

Ukiangalia plan ya viwanja vya Mtumba kwa mfano, kuna hotels, religious institutions, schools, etc. All these investments can be installed maporini bila shida. Kwa mfano, many people love spending their nights katika hotels zilizoko "vichakani". Lakini ni mwekezaji gani atanunua na kuwekeza hotel sehemu ambayo haifikiki?hakuna maji wala umeme?Imagine, ili kuingia kwenye eneo la hotel, unahitaji kuvuka makorongo makubwa mawili. These are canyons. Hakuna daraja, hakuna maji, na hakuna umeme wakati maeneo ambayo yako karibu na mji wa serikali au ikulu na ambayo hayajapimwa au yamerasimishwa na hayavutii ki-uwekezaji na yana umeme na maji!Maeneo haya siyo tu kwamba yamepangwa vibaya, lakini hayapendezeshi mji anaoutaka JPM. Hii siyo kwa government city and State house only. Iko sehemu nyingi.

2. Kufumbia au unintentionally embracing informal settlements
As mentioned above, informal settlements zilikuwepo kabla ya JPM kufanya alichokimaanisha. Dar is worse kwa sababu ya informal settlements. They are killing our beautiful Dar. Mvua kidogo tu akina mama wanavua viatu na kupandisha magauni au skirt hadi kiunoni mbele ya watu. Shida ya unsurveyed areas ni kwamba hata ukizirasimisha, bado hazitakuwa true surveyed areas na mbaya zaidi, watu wanazipenda maana zina huduma ya maji na umeme, lakini pia watu wanajua we will start informally at a cheap price and later on formalize and stay close to a posh village whose plots are heavily expensive. Pia zina migogoro miiingi. Mapato ya ardhi na nyumba pia hayapo maana wengi walirasimishiwa makazi lakini process haijafika mwisho au wakazi wanaoomba kurasimishiwa ni wachache compared to the number of households in the targeted area. JPM knows this very well because he was minister for this sector. Ukiacha kuweka infrastructure kwenye formal settlements, una-create makazi yasiyo rasmi na automatically you distort the plans and dreams. Formal settlements zisipoendelezwa, serious investments haziji, viwanja havinunuliki na serikali inakosa pesa.

I am advising the president kwa sababu he made it and we've got to advance his dreams in this regard. Basically, kuivunja CDA ilikuwa ni mwanzo wa utekelezaji wa nia yake nzuri sana kuhusu Dodoma. Bado ninamuomba awafatilie wafanyakazi wote wa iliyokuwa CDA, na wa jiji, na halamashauri zote as far as ardhi section is concerned.

A. President asimamishe uuzaji wa viwanja ambavyo vilishapimwa na havijanunuliwa au kumaliziwa deni na mhusika. Then atoe kipaumbele cha miundombinu kwenye maeneno yote ambayo yana viwanja vilivyopimwa kuanzia Nala hadi Mtumba ambayo basically ni mji ambao unatakiwa uwe wa mfano because it is close to government image. Ajenge madaraja makubwa ya kuvuka makorongo. Apeleke maji na umeme na baada ya hapo aviuze hivyo viwanja na kurudisha gharama zake kwa ulaini. This action will give him twofold benefits. Kwanza atarudisha gharama za miundombinu yake na atadevelop mji na kuingiza mapato kwa haraka sana. Mji utapendeza. I support him katika kuifanya Dodoma iwe nzuri kwa kuishi na itakuwa mji bora wa kuishi hasa kiafya according to UN standards.

B. Informal settlements kwa Dodoma ikome Mara moja. Let him discourage it kwa nguvu zote ili yasije yakatokea yale ya Dar.

Nimeandika haya nikijua this is the only way ya kufikisha my advice to my beloved president who acts fast. Hana mambo ya sijui michakato na upembuzi yakinifu. God bless JPM.
 
Pamoja na Kuchanganya Changanya kiingereza na Kiswahili. Umejichanganya na Kutumia nguvu kubwa bila sababu ya Kimsingi. Ujumbe wako ungeandika kwa ufupi tu Kwamba..Miundo mbinu Iwekwe, Viwanja vilivyonunuliwa na ambavyo havijanunuliwa Visitishwe kwa uboreshaji wa Makazi na serikali itafaidika baadae.

So kiswa-nglish ndi tujue umesoka. Kama unaandika Kiingereza basi komaa nacho sio utuchanganyie "betry na Guzi la Mhindi" tochi Haitawaka means Sisi na JPM Hatutaupata ujumbe wako. Mwisho Punguza Kusifiasifia tumewachagua Wasimamie Kodi yetu sio Vinginevyo na hera wanazotumia ni Zetu.
 
Unaonekana unaifahamu Dodoma vizuri, that's nice, umeonesha vizuri makosa yaliyofanywa kwa miji mingine mpaka sasa inapoteza mvuto (Dar wakati wa mvua).

Japo ana mapungufu yake mengine, lakini kwenye hili inaonekana Magufuli kaanza kujenga majengo kabla ya miundombinu, ila kwa mtazamo wangu naona hilo sio kosa kubwa sana, inaweza kuwa fixed later; japo ingependeza zaidi kama angetanguliza miundombinu kwanza.

All in all good article.
 
Greetings!

Nia ya President JPM ya kuifanya Dodoma kuwa capital city kwa vitendo was great. Ninaomba afanikiwe. Jiji la Dodoma ni kubwa geographically na ni zuri ki-usalama na kwa serikali kukaa hapo tofauti na a notable commercial city like Dar. My intention is to advise the CiC kuhusu viwanja, nyumba and other related investments. Let me admit for sure, and openly that for the first time, I have seen a president ambaye yuko serious katika kubana rushwa and in developing systems that seek kutokomeza upuuzi katika ukusanyaji wa mapato na pia kuwabinya "vibaka na wezi wakubwa".

Dodoma ilipima viwanja vingi sana. Watu wengi walinunua na wanaendelea kujenga. Kuna maeneo ambayo Jiji lilipima na kuuza. Hata hivyo, jiji halijafanikiwa kuuza viwanja vyote. Hata makampuni binafsi hayajaweza kuuza viwanja vyote. I strongly believe that shida kubwa siyo pesa. Big no. Shida ni miundombinu na tabia ya majiji au municipals ku-embrace au kufumbia macho au failure to discourage informal settlements.

1. Miundombinu
Miundombinu kama maji na umeme ni major drivers wa settlement development. Kuna viwanja vimepimwa kutoka Nala hadi Mtumba. Unfortunately, viwanja vingi havifikiki although, if truth be spoken, vimepimwa na kupangwa kwa ustadi wa hali ya juu sana. Imagine, a lot of investments made by our president pale Ikulu Chamwino. Look at the great government city ambayo JPM kamwaga hela. These investments are likely to attract a lot of investors wa private institutions kama schools, health facilities, and hotels. Kuna faida kubwa sana za kibiashara kuishi karibu na government city na state house.

Ukiangalia plan ya viwanja vya Mtumba kwa mfano, kuna hotels, religious institutions, schools, etc. All these investments can be installed maporini bila shida. Kwa mfano, many people love spending their nights katika hotels zilizoko "vichakani". Lakini ni mwekezaji gani atanunua na kuwekeza hotel sehemu ambayo haifikiki?hakuna maji wala umeme?Imagine, ili kuingia kwenye eneo la hotel, unahitaji kuvuka makorongo makubwa mawili. These are canyons. Hakuna daraja, hakuna maji, na hakuna umeme wakati maeneo ambayo yako karibu na mji wa serikali au ikulu na ambayo hayajapimwa au yamerasimishwa na hayavutii ki-uwekezaji na yana umeme na maji!Maeneo haya siyo tu kwamba yamepangwa vibaya, lakini hayapendezeshi mji anaoutaka JPM. Hii siyo kwa government city and State house only. Iko sehemu nyingi.

2. Kufumbia au unintentionally embracing informal settlements
As mentioned above, informal settlements zilikuwepo kabla ya JPM kufanya alichokimaanisha. Dar is worse kwa sababu ya informal settlements. They are killing our beautiful Dar. Mvua kidogo tu akina mama wanavua viatu na kupandisha magauni au skirt hadi kiunoni mbele ya watu. Shida ya unsurveyed areas ni kwamba hata ukizirasimisha, bado hazitakuwa true surveyed areas na mbaya zaidi, watu wanazipenda maana zina huduma ya maji na umeme, lakini pia watu wanajua we will start informally at a cheap price and later on formalize and stay close to a posh village whose plots are heavily expensive. Pia zina migogoro miiingi. Mapato ya ardhi na nyumba pia hayapo maana wengi walirasimishiwa makazi lakini process haijafika mwisho au wakazi wanaoomba kurasimishiwa ni wachache compared to the number of households in the targeted area. JPM knows this very well because he was minister for this sector. Ukiacha kuweka infrastructure kwenye formal settlements, una-create makazi yasiyo rasmi na automatically you distort the plans and dreams. Formal settlements zisipoendelezwa, serious investments haziji, viwanja havinunuliki na serikali inakosa pesa.

I am advising the president kwa sababu he made it and we've got to advance his dreams in this regard. Basically, kuivunja CDA ilikuwa ni mwanzo wa utekelezaji wa nia yake nzuri sana kuhusu Dodoma. Bado ninamuomba awafatilie wafanyakazi wote wa iliyokuwa CDA, na wa jiji, na halamashauri zote as far as ardhi section is concerned.

A. President asimamishe uuzaji wa viwanja ambavyo vilishapimwa na havijanunuliwa au kumaliziwa deni na mhusika. Then atoe kipaumbele cha miundombinu kwenye maeneno yote ambayo yana viwanja vilivyopimwa kuanzia Nala hadi Mtumba ambayo basically ni mji ambao unatakiwa uwe wa mfano because it is close to government image. Ajenge madaraja makubwa ya kuvuka makorongo. Apeleke maji na umeme na baada ya hapo aviuze hivyo viwanja na kurudisha gharama zake kwa ulaini. This action will give him twofold benefits. Kwanza atarudisha gharama za miundombinu yake na atadevelop mji na kuingiza mapato kwa haraka sana. Mji utapendeza. I support him katika kuifanya Dodoma iwe nzuri kwa kuishi na itakuwa mji bora wa kuishi hasa kiafya according to UN standards.

B. Informal settlements kwa Dodoma ikome Mara moja. Let him discourage it kwa nguvu zote ili yasije yakatokea yale ya Dar.

Nimeandika haya nikijua this is the only way ya kufikisha my advice to my beloved president who acts fast. Hana mambo ya sijui michakato na upembuzi yakinifu. God bless JPM.
Dah ! Kuandika kote lakini hakuna wachangiaji ? Kulikoni !
 
Unaonekana unaifahamu Dodoma vizuri, that's nice, umeonesha vizuri makosa yaliyofanywa kwa miji mingine mpaka sasa inapoteza mvuto (Dar wakati wa mvua).

Japo ana mapungufu yake mengine, lakini kwenye hili inaonekana Magufuli kaanza kujenga majengo kabla ya miundombinu, ila kwa mtazamo wangu naona hilo sio kosa kubwa sana, inaweza kuwa fixed later; japo ingependeza zaidi kama angetanguliza miundombinu kwanza.

All in all good article.
Just wondering, kwani wakati ujenzi holela ukiendelea huko nyuma hiyo Wizara haikua na town planners na sera? Mbona ni walewale? Muujiza gani unahitajika?
 
Kununua na kuuza viwanja ni scam ya kutupa bongo hii... uthaminishwaji ardhi mbovu sijapata ona popote duniani...
Naona unapambana waweke infrastructure uendelee kutangaza kama kawa bei ipae....

Nawaonea huruma sana investors wanaoenda Dodoma sijui kwanini....
 
Andiko zuri hili!.... Lakini ungewasilisha bila kuchanganya lugha ambazo inaonekana hakuna hata moja kati ya hizo mbili unayoimudu, ingependeza sana. Hata hivyo ujumbe mahsusi ni kuongeza kazi ya kujenga miundombinu.... Maendeleo ya vitu kwanza. 🤔
 
Serikali inajenga jengo lake la hotel pale mtumba ili shughuli zake zifanyike hapo ikiwemo mikutano.
Mwekezaji akija kujenga hotel maana yake hatapata deal yeyote ya serikali Ila atakuwa anategemea wananchi tu sababu hata utalii dodoma hakuna kwamba watakuja kulala hotelini.
Wananchi wenyewe ndio sisi...
 
Daaah!
 
Greetings!

Nia ya President JPM ya kuifanya Dodoma kuwa capital city kwa vitendo was great. Ninaomba afanikiwe. Jiji la Dodoma ni kubwa geographically na ni zuri ki-usalama na kwa serikali kukaa hapo tofauti na a notable commercial city like Dar. My intention is to advise the CiC kuhusu viwanja, nyumba and other related investments. Let me admit for sure, and openly that for the first time, I have seen a president ambaye yuko serious katika kubana rushwa and in developing systems that seek kutokomeza upuuzi katika ukusanyaji wa mapato na pia kuwabinya "vibaka na wezi wakubwa".

Dodoma ilipima viwanja vingi sana. Watu wengi walinunua na wanaendelea kujenga. Kuna maeneo ambayo Jiji lilipima na kuuza. Hata hivyo, jiji halijafanikiwa kuuza viwanja vyote. Hata makampuni binafsi hayajaweza kuuza viwanja vyote. I strongly believe that shida kubwa siyo pesa. Big no. Shida ni miundombinu na tabia ya majiji au municipals ku-embrace au kufumbia macho au failure to discourage informal settlements.

1. Miundombinu
Miundombinu kama maji na umeme ni major drivers wa settlement development. Kuna viwanja vimepimwa kutoka Nala hadi Mtumba. Unfortunately, viwanja vingi havifikiki although, if truth be spoken, vimepimwa na kupangwa kwa ustadi wa hali ya juu sana. Imagine, a lot of investments made by our president pale Ikulu Chamwino. Look at the great government city ambayo JPM kamwaga hela. These investments are likely to attract a lot of investors wa private institutions kama schools, health facilities, and hotels. Kuna faida kubwa sana za kibiashara kuishi karibu na government city na state house.

Ukiangalia plan ya viwanja vya Mtumba kwa mfano, kuna hotels, religious institutions, schools, etc. All these investments can be installed maporini bila shida. Kwa mfano, many people love spending their nights katika hotels zilizoko "vichakani". Lakini ni mwekezaji gani atanunua na kuwekeza hotel sehemu ambayo haifikiki?hakuna maji wala umeme?Imagine, ili kuingia kwenye eneo la hotel, unahitaji kuvuka makorongo makubwa mawili. These are canyons. Hakuna daraja, hakuna maji, na hakuna umeme wakati maeneo ambayo yako karibu na mji wa serikali au ikulu na ambayo hayajapimwa au yamerasimishwa na hayavutii ki-uwekezaji na yana umeme na maji!Maeneo haya siyo tu kwamba yamepangwa vibaya, lakini hayapendezeshi mji anaoutaka JPM. Hii siyo kwa government city and State house only. Iko sehemu nyingi.

2. Kufumbia au unintentionally embracing informal settlements
As mentioned above, informal settlements zilikuwepo kabla ya JPM kufanya alichokimaanisha. Dar is worse kwa sababu ya informal settlements. They are killing our beautiful Dar. Mvua kidogo tu akina mama wanavua viatu na kupandisha magauni au skirt hadi kiunoni mbele ya watu. Shida ya unsurveyed areas ni kwamba hata ukizirasimisha, bado hazitakuwa true surveyed areas na mbaya zaidi, watu wanazipenda maana zina huduma ya maji na umeme, lakini pia watu wanajua we will start informally at a cheap price and later on formalize and stay close to a posh village whose plots are heavily expensive. Pia zina migogoro miiingi. Mapato ya ardhi na nyumba pia hayapo maana wengi walirasimishiwa makazi lakini process haijafika mwisho au wakazi wanaoomba kurasimishiwa ni wachache compared to the number of households in the targeted area. JPM knows this very well because he was minister for this sector. Ukiacha kuweka infrastructure kwenye formal settlements, una-create makazi yasiyo rasmi na automatically you distort the plans and dreams. Formal settlements zisipoendelezwa, serious investments haziji, viwanja havinunuliki na serikali inakosa pesa.

I am advising the president kwa sababu he made it and we've got to advance his dreams in this regard. Basically, kuivunja CDA ilikuwa ni mwanzo wa utekelezaji wa nia yake nzuri sana kuhusu Dodoma. Bado ninamuomba awafatilie wafanyakazi wote wa iliyokuwa CDA, na wa jiji, na halamashauri zote as far as ardhi section is concerned.

A. President asimamishe uuzaji wa viwanja ambavyo vilishapimwa na havijanunuliwa au kumaliziwa deni na mhusika. Then atoe kipaumbele cha miundombinu kwenye maeneno yote ambayo yana viwanja vilivyopimwa kuanzia Nala hadi Mtumba ambayo basically ni mji ambao unatakiwa uwe wa mfano because it is close to government image. Ajenge madaraja makubwa ya kuvuka makorongo. Apeleke maji na umeme na baada ya hapo aviuze hivyo viwanja na kurudisha gharama zake kwa ulaini. This action will give him twofold benefits. Kwanza atarudisha gharama za miundombinu yake na atadevelop mji na kuingiza mapato kwa haraka sana. Mji utapendeza. I support him katika kuifanya Dodoma iwe nzuri kwa kuishi na itakuwa mji bora wa kuishi hasa kiafya according to UN standards.

B. Informal settlements kwa Dodoma ikome Mara moja. Let him discourage it kwa nguvu zote ili yasije yakatokea yale ya Dar.

Nimeandika haya nikijua this is the only way ya kufikisha my advice to my beloved president who acts fast. Hana mambo ya sijui michakato na upembuzi yakinifu. God bless JPM.
Mji wa kisiasa utakuwa na mpangilio kweli??? Jidanganye
 
Serikali inajenga jengo lake la hotel pale mtumba ili shughuli zake zifanyike hapo ikiwemo mikutano.
Mwekezaji akija kujenga hotel maana yake hatapata deal yeyote ya serikali Ila atakuwa anategemea wananchi tu sababu hata utalii dodoma hakuna kwamba watakuja kulala hotelini.
Wananchi wenyewe ndio sisi...

Una point walitakiwa wahakikishe recurrent expenditures wanawapa wananchi tender ili ku enhance money circulation au nakosea Mkuu?
 
Wenda wazo la mtoa mada ni zuri,ila sijaelewa vizuri KWA kukazia nala vs mtumba ,ijulikane dodo ina barabara nne zinazo ingia na kutoka, namanisha dodoma dar huko ndo waikuta mtumba
Dodoma mwanza huko ndo waikuta nala,lugala, mbalawala,
Dodoma Arusha huko wakuta veyula,nk
Dodoma iringa wakuta mpunguzi nk
Nafikili wazo lako lilenge sehem zote nne but not based on nala vs mtumba,
Greetings!

Nia ya President JPM ya kuifanya Dodoma kuwa capital city kwa vitendo was great. Ninaomba afanikiwe. Jiji la Dodoma ni kubwa geographically na ni zuri ki-usalama na kwa serikali kukaa hapo tofauti na a notable commercial city like Dar. My intention is to advise the CiC kuhusu viwanja, nyumba and other related investments. Let me admit for sure, and openly that for the first time, I have seen a president ambaye yuko serious katika kubana rushwa and in developing systems that seek kutokomeza upuuzi katika ukusanyaji wa mapato na pia kuwabinya "vibaka na wezi wakubwa".

Dodoma ilipima viwanja vingi sana. Watu wengi walinunua na wanaendelea kujenga. Kuna maeneo ambayo Jiji lilipima na kuuza. Hata hivyo, jiji halijafanikiwa kuuza viwanja vyote. Hata makampuni binafsi hayajaweza kuuza viwanja vyote. I strongly believe that shida kubwa siyo pesa. Big no. Shida ni miundombinu na tabia ya majiji au municipals ku-embrace au kufumbia macho au failure to discourage informal settlements.

1. Miundombinu
Miundombinu kama maji na umeme ni major drivers wa settlement development. Kuna viwanja vimepimwa kutoka Nala hadi Mtumba. Unfortunately, viwanja vingi havifikiki although, if truth be spoken, vimepimwa na kupangwa kwa ustadi wa hali ya juu sana. Imagine, a lot of investments made by our president pale Ikulu Chamwino. Look at the great government city ambayo JPM kamwaga hela. These investments are likely to attract a lot of investors wa private institutions kama schools, health facilities, and hotels. Kuna faida kubwa sana za kibiashara kuishi karibu na government city na state house.

Ukiangalia plan ya viwanja vya Mtumba kwa mfano, kuna hotels, religious institutions, schools, etc. All these investments can be installed maporini bila shida. Kwa mfano, many people love spending their nights katika hotels zilizoko "vichakani". Lakini ni mwekezaji gani atanunua na kuwekeza hotel sehemu ambayo haifikiki?hakuna maji wala umeme?Imagine, ili kuingia kwenye eneo la hotel, unahitaji kuvuka makorongo makubwa mawili. These are canyons. Hakuna daraja, hakuna maji, na hakuna umeme wakati maeneo ambayo yako karibu na mji wa serikali au ikulu na ambayo hayajapimwa au yamerasimishwa na hayavutii ki-uwekezaji na yana umeme na maji!Maeneo haya siyo tu kwamba yamepangwa vibaya, lakini hayapendezeshi mji anaoutaka JPM. Hii siyo kwa government city and State house only. Iko sehemu nyingi.

2. Kufumbia au unintentionally embracing informal settlements
As mentioned above, informal settlements zilikuwepo kabla ya JPM kufanya alichokimaanisha. Dar is worse kwa sababu ya informal settlements. They are killing our beautiful Dar. Mvua kidogo tu akina mama wanavua viatu na kupandisha magauni au skirt hadi kiunoni mbele ya watu. Shida ya unsurveyed areas ni kwamba hata ukizirasimisha, bado hazitakuwa true surveyed areas na mbaya zaidi, watu wanazipenda maana zina huduma ya maji na umeme, lakini pia watu wanajua we will start informally at a cheap price and later on formalize and stay close to a posh village whose plots are heavily expensive. Pia zina migogoro miiingi. Mapato ya ardhi na nyumba pia hayapo maana wengi walirasimishiwa makazi lakini process haijafika mwisho au wakazi wanaoomba kurasimishiwa ni wachache compared to the number of households in the targeted area. JPM knows this very well because he was minister for this sector. Ukiacha kuweka infrastructure kwenye formal settlements, una-create makazi yasiyo rasmi na automatically you distort the plans and dreams. Formal settlements zisipoendelezwa, serious investments haziji, viwanja havinunuliki na serikali inakosa pesa.

I am advising the president kwa sababu he made it and we've got to advance his dreams in this regard. Basically, kuivunja CDA ilikuwa ni mwanzo wa utekelezaji wa nia yake nzuri sana kuhusu Dodoma. Bado ninamuomba awafatilie wafanyakazi wote wa iliyokuwa CDA, na wa jiji, na halamashauri zote as far as ardhi section is concerned.

A. President asimamishe uuzaji wa viwanja ambavyo vilishapimwa na havijanunuliwa au kumaliziwa deni na mhusika. Then atoe kipaumbele cha miundombinu kwenye maeneno yote ambayo yana viwanja vilivyopimwa kuanzia Nala hadi Mtumba ambayo basically ni mji ambao unatakiwa uwe wa mfano because it is close to government image. Ajenge madaraja makubwa ya kuvuka makorongo. Apeleke maji na umeme na baada ya hapo aviuze hivyo viwanja na kurudisha gharama zake kwa ulaini. This action will give him twofold benefits. Kwanza atarudisha gharama za miundombinu yake na atadevelop mji na kuingiza mapato kwa haraka sana. Mji utapendeza. I support him katika kuifanya Dodoma iwe nzuri kwa kuishi na itakuwa mji bora wa kuishi hasa kiafya according to UN standards.

B. Informal settlements kwa Dodoma ikome Mara moja. Let him discourage it kwa nguvu zote ili yasije yakatokea yale ya Dar.

Nimeandika haya nikijua this is the only way ya kufikisha my advice to my beloved president who acts fast. Hana mambo ya sijui michakato na upembuzi yakinifu. God bless JPM.
 
Unaonekana unaifahamu Dodoma vizuri, that's nice, umeonesha vizuri makosa yaliyofanywa kwa miji mingine mpaka sasa inapoteza mvuto (Dar wakati wa mvua).

Japo ana mapungufu yake mengine, lakini kwenye hili inaonekana Magufuli kaanza kujenga majengo kabla ya miundombinu, ila kwa mtazamo wangu naona hilo sio kosa kubwa sana, inaweza kuwa fixed later; japo ingependeza zaidi kama angetanguliza miundombinu kwanza.

All in all good article.
Sehemu ambazo Zina huduma muhimu hazipimwi.mfani ni kweli wameanzia nala lkn wameruka maeneo ya mnadani pale maili mbili.watu wanamashamba pale na wanataka wapimiwe lkn wanawasumbua Sana na inaelekea kuna wakubwa wanataka kuwanyang'anya maeneo hayo kwa sababu yako jirani na miundo mbinu muhimu.hivyo nashauri serikali ilipime eneo hilo na wagawiwe wenye maeneo hayo ili wawekeze.
 
Kweli kukosekana kwa miundombinu ndio chanzo cha watu kutoendeleza viwanja hivyo.
Tatizo kubwa wameanzia kupima viwanja maeneo ambayo hayana vichocheo na kuacha maeneo yenye vichocheo ili wayapore wenyewe Kama maeneo ya mnadani,Kati ya nala na maili mbili yamerukwa kwa Nini wakati wamiliki wa eneo hilo wanasumbuliwa na maafisa mipango mini kwa kutopimiwa?
 
Back
Top Bottom