Jenerali Ambamba
JF-Expert Member
- Sep 8, 2014
- 3,344
- 2,537
Ukisoma ule waraka wa Media plan-eti wa kutangaza katiba ili wananchi waweze kuipigia kura ya ndiyo, moja ya malengo ni kwamba:----
"Kuiepusha serikali na aibu ikiwa wananchi wataamua kuipigia kura ya hapana"
Nauliza, hivi mwakani ikitokea CCM Inashindwa uchaguzi, Jakaya kikwete si atawaamuru Tume ya uchaguzi kumtangaza mgombea wa CCM ili kuiepsha CCM na aibu ya kushindwa? hapa ndo RAIS anaweza kuandika historia mbaya ya machafuko nchini.
Ukawa mmejiandaaje na hili?
Nimeshtushwa sana na huu waraka wa Kikwete wa kuitangaza katiba kwa sababu si kazi yake, halafu, mimi nalipa kodi kila siku, na kodi yangu ndo itatumika kuitangaza katiba pendekezwa ya serikali eti ili niipigie kura ya ndiyo, na mm kura yangu ni ya hapana, sasa inakuwaje hapa?