Je, ni kwanini Waafrika hatukemei uvunjifu wa amani na fujo za Kidemokrasia zinazoendelea sasa Marekani?

All - Rounder

JF-Expert Member
Apr 2, 2015
2,635
2,000
Hivi kinachofanywa na Utawala wa Rais Trump Fujo na Ukatili wa Kidemokrasia huku Kwetu Afrika hatuyaoni? Kwanini tumelinyamazia hili la sasa?
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
11,096

Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
 
Lordloffa

Member
Jan 4, 2021
40
95

yote hayo ni juu ya nini
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
11,096
2,000
watetezi wa demokrasia wakina lissu na amsterdam nasubiri watoe tamko la kuwawekea vikwazo vya kiuchumi marekani
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
 
stakehigh

JF-Expert Member
Aug 9, 2019
3,502

tufanye kama sisi tumeshindwa kukemea kwa sababu hatujui demokrasia, je nyie watetezi wa demokrasia kweli mko wapi kukemea uovu unaofanyika kule, wapi wakina amsterdam, wapi kina lissu, wakina sarungi wako wapi kukemea????? nadhan jibu mnalo, hapa ndo pale tunapowaimbia upinzani hii nchi ni makapuku akilini nadhan kinaeleweka sasa
 
wangwafi

Senior Member
May 21, 2020
139
225
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
IGP wa kule katoa ruhusa watoe kipigo. Hujaona askari wa Marekani wanavyotoa kipigo cha Mbwa koko kwa wafuasi wa Trump? basi nenda youtube andika

Chaos in Washington as Trump supporters storm Capitol and force lockdown of Congress​

koncho77

JF-Expert Member
Feb 26, 2014
7,217
2,000
IGP wa kule katoa ruhusa watoe kipigo. Hujaona askari wa Marekani wanavyotoa kipigo cha Mbwa koko kwa wafuasi wa Trump? basi nenda youtube andika

Chaos in Washington as Trump supporters storm Capitol and force lockdown of Congress​

Jamaa wewe muongo sijawahi kuona
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
11,096
2,000
IGP wa kule katoa ruhusa watoe kipigo. Hujaona askari wa Marekani wanavyotoa kipigo cha Mbwa koko kwa wafuasi wa Trump? basi nenda youtube andika

Chaos in Washington as Trump supporters storm Capitol and force lockdown of Congress​

Donald Trump ndiye aliwashawishi watu waandamane, huku akiwaita ni watu mhimu sana. Siku hii ya jana katika hotuba yake anasisitiza kuwa Marekani inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na Katiba, na watu wote waliofanya maandamano na kusababisha MADHARA watachukuliwa HATUA

Trump akili zake sometime kama za Bashiru wa ccm
 
Kipangaspecial

JF-Expert Member
Mar 30, 2020
11,096
2,000
Hivi kinachofanywa na Utawala wa Rais Trump Fujo na Ukatili wa Kidemokrasia huku Kwetu Afrika hatuyaoni? Kwanini tumelinyamazia hili la sasa?
Donald Trump ndiye aliwashawishi watu waandamane, huku akiwaita ni watu mhimu sana. Siku hii ya jana katika hotuba yake anasisitiza kuwa Marekani inaendeshwa kwa mujibu wa sheria na Katiba, na watu wote waliofanya maandamano na kusababisha MADHARA watachukuliwa HATUA

Trump akili zake sometime kama za Bashiru wa ccm
 
Tz mbongo

JF-Expert Member
Mar 12, 2015
8,146
2,000
Wapinzani wa bongo hawawezi kusifia wazungu pasina kuitaja Tanzania kwa mabaya,wapinzani wa bongo hawawezi kujadili mabaya ya wazungu pasina kuihusisha na Tanzania. Mpinzani wa bongo ukimueleza habari za mauwaji ya watu weusi huko Marekani basi yupo radhi kukwambia kuwa wenye matatizo ni watu weusi wenyewe na ni haki yao kuuliwa. Mpinzani wa bongo yupo radhi nchi yake iwekewe vikwazo na wazungu ili kuikomoa serikali.
 
kt the irreplaceable

JF-Expert Member
Oct 12, 2017
796
1,000
Pamoja na "MATAGA" wa marekani kuandamana wakitaka bwana "TRUMP" asalie madarakani pamoja na kushindwa, ila hujasikia IGP wakule akisema watapigwa kipigo cha mbwa koko, makamo wa raisi Mike Pence yani mama Samia Suluhu Wakule kasema "MATAGA" hao wanaiaibisha MAREKANI.
Ccm na vibaraka wenu mna la kujifunza.
Polisi kule wameua watatu.. au hujui hilo?
 
May Day

JF-Expert Member
May 18, 2018
3,862
2,000
Sisi tunamshangilia Trump kimoyomoyo, Trump ni shujaa wa mioyo yetu maana anachofanya ni Uafrika halisi.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom