Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna vitu hapo awali nilikuwa sielewi kabisa, kuna wakati wanasiasa halisia walikuwa wanakosea kabisa na hata mtoto ukimuuliza anakwambia kuwa hilo ni kosa lakini wanasiasa wa mtandao walikuwa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Mfungwa wa kisiasa Kamanda Mdude Nyagali leo ametimiza siku 244 Jela ambako amewekwa kwa kesi isiyo na dhamana Kwa mara ya kwanza alishitakiwa kwa makosa ya Uhujumu uchumi lakini baada ya...
20 Reactions
84 Replies
8K Views
KILIO CHA WAALIMU NCHINI TANZANIA! Nimepokea waraka kutoka kwa mmoja wa waalimu akiwawakilisha waalimu wenzake. Kwa sababu za unyeti wa maudhui ya waraka huo, kiapo changu cha Uaskofu...
13 Reactions
64 Replies
11K Views
WanaJF, Salaam! Nimefuatilia kwa takriban miaka sita (6) hivi humu kwenye jamvi huru la siasa. Ukijitokeza kusifia, kuunga mkono jitihada za Serikali inapofanya jambo zuri i.e Ujenzi wa vivuko...
12 Reactions
93 Replies
7K Views
Rais Nyusi atatembelea Tanzania kwa ziara rasmi ya Kiserikali kuanziaa tarehe 11-12 Januari 2021 Mgeni huyo muhimu atawasili nchini kupitia uwanja wa ndege wa kisasa wa Chato, Mkoani Geita na...
5 Reactions
50 Replies
7K Views
Salaam kwenu heshima mbele! Naamini lengo JK lilikuwa zuri kuigawa Wilaya ya Bagamoyo na kujenga bandari ili Bagamoyo iwe Port City. Hakuna vijiji wala nini; sasa kilichotokea wilaya imeisha...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameagiza kukamatwa kwa askari watano katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutokana na kushiriki matukio ya kihalifu. Agizo...
4 Reactions
64 Replies
8K Views
Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu? Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020. Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya. Hii itamuwezesha...
6 Reactions
69 Replies
5K Views
TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA) Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka...
23 Reactions
141 Replies
21K Views
Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya...
17 Reactions
66 Replies
6K Views
Mbunge wa Jimbo wa Jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi amemaliza changamoto ya Umeme, Maji na Choo katika Soko la Chita jimboni humo baada ya kutoa Sh Milioni 1.5. Mbunge wetu wa Mpwapwa unaona...
2 Reactions
11 Replies
3K Views
Msigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading! Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndugulile.
17 Reactions
205 Replies
25K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi wa habari kuhakikisha wanajipanga ili kuendana na matwaka ya Sheria ya Huduma...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina uhusiano na jambo lingine lolote . Ieleweke kwamba Mkoa wa DSM kama ilivyo mikoa mingine umeishaongozwa na Wakuu tofauti tofauti wa Mkoa , kwa uchache...
2 Reactions
349 Replies
39K Views
Kesi nyingi za uhujumu uchumi Tanzania utasikia uchunguzi haujakamilika, na hii inachukua miaka kadhaa. Ila katika mazingira ya uchunguzi kuendelea mtu yuleyule unasikia ameshauriana na DPP au...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
ICC WAPO KIKAZI KWELI. Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia...
10 Reactions
27 Replies
5K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amekagua mradi wa ujenzi wa Chuo kipya cha Mafunzo ya Ufundi Stadi na Huduma (VETA) katika Mkoa wa Kagera. Profesa Ndalichako...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye pointi ni kwamba kama kuna wanasiasa waliosingiziwa sana kwa habari za uongo nchi hii basi ni Kawawa rip wakati wa chama kimoja na mzee Lowassa na Ridhiwani Kikwete wakati wa...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike. Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili. Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni...
71 Reactions
148 Replies
57K Views
Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni. Je, ni nani hasa anayemlipa Robert...
13 Reactions
142 Replies
15K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…