Saalam!
Nchi kadhaa duniani zimeathirika kiuchumi, kielimu, kisiasa nk.
Kutokana na hali hiyo, Serikali nyingi zimechukua hatua za kuzikwamua sekta mbalimbali hasa za kiuchumi kuziongezea...
Salaam Wakuu,
Benki ya Dunia inatazamia kutoa Dola za Kimarekani Milioni 425 katika mpango wa miaka mitano wa uboreshaji wa elimu ya juu ili kwendana na Mabadiliko ya Kiuchumi
Wizara ya Elimu...
Kwa mtazamo wangu,katika taasisi ambazo zimeundwa kwa sheria nzuri na bora, basi ni EWURA, na si ajabu hakuna taasisi nyingine yenye sheria nzuri kama EWURA kwa maana ya kuwa taasisi ya Serikali...
Kama Serikali itataka kufanya shughuli zote hadi za kubeba nyama kutoka machinjio mpya ya Vingunguti na kusambaza mabuchani basi sekta binafsi inaweza kudhoofu sana.
Nilimsikia Naibu Waziri wa...
Naomba kujuzwa hili Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani?
Wajumbe wa Baraza hili wanapatikanaje, kuchaguliwa au maveterani wa mapinduzi?
Nani...
LAIZER AMEOMBA SERIKALI KUPELEKA WALIMU SHULE ALIYOJENGA
Baada ya Bilionea Saniniu Laizer kukamilisha ujenzi wa Shule aliyoijenga kwa pesa zake na kugharimu milioni 466 ili kusaidia Jamii...
Nashauri wadau serikali wafatilie maoni ya wadau. Machache:
1. Serikali iwe na takwimu na mwelekeo kuweza kupanga mipango.
2. Kushirikikisha wadau sector binafsi.
3. Ikibidi kukopa kujenga...
Tatizo la uhaba wa madarasa limekuwepo kwa muda mrefu na lilianza kushamiri hasa miaka ya tisini.
Ukweli ni kuwa sababu kubwa ni ongezeko la idadi ya watoto wanaotakiwa kujiunga na elimu ya...
Muda uliotolewa wa kuboresha Mashine za EFD wa mwezi mmoja (kuanzia desemba 7 hadi Januari 7) hautoshi, kwa sababu mawakala wanaofanya kazi hiyo wamezidiwa na kazi hiyo kutokana na wingi wa...
Kwenye ubunifu wa kujenga barabara ya kuvuka waenda kwa miguu kutoka upande mmoja kwenda mwingine Kigoma imeipiku Dar es salaam mbali mno
Mainjinia wa barabara Dar es salaam nendeni Kigoma...
Nimekuwa nikifatilia uzinduzi wa mbuga ya wanyama, nimejiwa na maswali mengi sana ila kubwa na zaidi ni ili.
Kwanza nini maana ya NENO AU JINA BULIGI?
Je, ili neno asili yake ni wapi?
Kwanini...
Hujambo na karibu ktk Mkutano na Muendelezo wa kampeni za Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA Mh. Edward Ngoyai Lowassa.
Hali katika Mji huu ni utulivu wa kutosha huku hamasa ya wakaazi...
Wanabodi, Salaam!
Kwanza nianze kwa kukupongezeni kwa uhai wenu ndani ya kundijamii hili - nafahamu kwamba pamoja na kuwa tumo watu wa itikadi tofauti za vyama vya siasa, dini tofauti, jinsia na...
Ufisadi wa $600m hati fungani za Serikali: Tusikubali ya Rada, hatua zichukuliwe
Taasisi ya Serious Fraud Office ya Uingereza ( SFO ) inafanya mazungumzo na Benki ya Standard Group ya Afrika ya...
Katiba ya Chadema inatoa fursa kwa mtu aliyehukumiwa na kamati kuu kukata rufaa Baraza kuu endapo hajaridhiks na hukumu iliyotolewa dhidi yake.
Je, huchukua muda gani baraza kuu kuketi na...
Naweza sema hizi Barabara hasa hii inayoanzia Katumba - Mwakaleli- Rwangwa- hadi Kyela ni muhimu sana kiuchumi.
Huko ndiko inatolewa gesi ya carbon dioxide hiyo inayotumika kwenye vinywaji...
WAZANZIBARI WAMEAMKA?
Toka ilipoundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) ghafla Zanzibar imebadilika na kuwatia matumaini makubwa Wazanzibari.
Yanayoonekana katika mitandao ya kijamii katika...
Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo.
Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa...