Kiongozi bora awe vipi?

Kiongozi bora awe vipi?

Kibenje KK

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2016
Posts
284
Reaction score
442
1: Anakuamini kwamba unao uwezo wa kufanya kazi uliyo ajiriwa kuifanya (They trust you to do the job you've been hired to do).

2: Anachukua ushauri/maoni yako na mchango wako katika kuboresha taasisi (They seek your advice and input).

3: Anatafuta fursa zitakazokufanya unufaike kwa namna moja au nyingine (They find opportunities to let you shine)

4: Anatambua na kuthamini mchango wako kwa taasisi (They recognize and appreciate your contributions)

5: Anakuwa na wewe ili kukusapoti wakati ukiwa katika wakati mgumu (They have your back during tough times)

6: Anakupa changamoto yenye kukufanya ufanye mambo makubwa na mazuri zaidi (They challenge you to do bigger and better things).

7: Ni msikivu, yuko haraka kusikiliza, kuchukua na kutendea kazi anachoambiwa (They are responsive).

8:Anatambua ni wakati gani anatakiwa kuomba radhi/msamaha (They know when to apologise)

9: Inapobidi kupongeza anapongeza (They give credit where credit is due)

10: Anawatendea watu kwa utu na heshima (They treat others with dignity and respect).

11: Anajali (They care).

Viongozi wetu kuanzia Kwenye Taasisi wana sifa hizi?
 
No one perfect lakini sio bandiaaa mengine yaache hvy hvy
 
Back
Top Bottom