Tundu Lissu: CHADEMA haina mamlaka kisheria kufungua kesi ICC kuhusiana na Uchaguzi 2020

DAGAA WA MWANZA

Senior Member
Jan 27, 2019
163
500
Aliyekuwa mgombea uchaguzi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHDEMA Tundu antipas Lissu amejitokeza na kutolea ufafanuzi kadha kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa kesi huko mahakama ya uhalifu ICC dhidi ya Serikali ya Tanzania baada ya uchaguzi mkuu 2020.

====

Dar es Salaam. Chadema Vice Chairman and party’s presidential candidate in the 2020 General Election Tundu Lissu yesterday clarified that the opposition party hasn’t filed a case at The Hague- based International Criminal Court (ICC) because it lacks the legal mandate to do so.

He said member states who are signatories to the Rome Statues and the ICC chief prosecutor were the only ones with the legal mandate to file cases at the court with its residency in the Netherlands.

However, Mr Lissu, who was speaking during a virtual debate said the process could face serious challenges from members of the United Nations Security Council that have VETO powers.

In his clarification, Mr Lissu said Chadema has submitted evidence on incidents that could qualify as crimes against humanity that have been committed targeting members of the opposition.

However, Attorney General (AG), Prof Adelardus Kilangi, recently denied to have been aware of the ICC processes referred to by Chade- ma’s national chairman Freeman Mbowe.

Yesterday, Mr Lissu said the ICC, which was established in 1999, registered four types of cases includ- ing those related to genocide, crimes against humanity, war crimes and aggression.

“It is up to the chief prosecutor to determine whether our evidence conforms to Article 7 and 17 of the Rome Statute that describe types of crimes and whether they have suf- ficient gravity,” he said.

He said sufficient gravity is measured by the number of victims, the quality of crime and the type of defendants.

“Therefore, we have listed inci- dents of killings, assassination attempts that targeted me in Dodo- ma, disappearances, remands and wounding as well as providing the quality, perpetrators and their state- ments for the chief prosecutor to determine,” he said.

He added, “However, these are preliminary stages, the case is not expected today or tomorrow because there are procedures that have to be followed first.”

Detailing on procedures, the former president of the Tanganyika Law Society (TLS) said upon being satisfied with evidence, the chief prosecutor may travel to the country for further gratification.

However, the prosecutor would finally be required to seek for the approval of the United Nations Security Council that has 15 members, with the UK, US, Russia, France and China holding VETO powers.

“The challenge is that all the five members with VETO powers are supposed to accept in order for the case to be filed, which is really a huge challenge,” admitted the former firebrand Singida East lawmaker.

According to him, apart from demand for immense support, claimed offenses have to be substantiated because not all killing incidents are crimes against humanity. He said crimes to qualify as against humanity should target a certain group of people, should spread, be repetitive, systematic and executed to identifiable groups.

Responding to a question on what would be the case if the country withdraws ICC membership as it happened when Tanzania withdrew from the African Court on Human and People’s Rights (AfCHPR) based in Arusha, Mr LIssu said that will not help.

“The country will be dealt with regardless of its membership status based on the international custom- ary laws and traditions that prohibit incidents of aggression, war crimes and crime against humanity,” he said.

He said Tanzania has signed sever- al international treaties, which could be another reason for it to continue facing trials even if it withdraws from the court.
During the event, lawyer Jebra Kambole said the ICC chief prosecutor may also launch an investigation by herself like what happened in Kenya, Burundi and Georgia.

“The chief prosecutor may also launch investigation in other areas including the forceful disappearance of people and arbitrary detention including incidents that don’t meet international standards and governments are not ready or unwilling to investigate,” he said.

Chanzo: The Citizen

Msikilizie kwa undani

Sehemu ya pili ya ufafanuzi
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
3,925
2,000
Bora ametolea ufafanuzi lumumba waache kujiliwaza.

Natumai leo mmemuelewa hasa pale anapozungumzia lengo la kuanzishwa mahakama ya ICC, kuwa ni ku-deal na serikali au taasisi zake zinapofanya makosa kwa raia wake na pasiwepo uhakika wa vyombo vya ndani kuyashughulikia hayo matatizo kwa ukamilifu bila upendeleo.

Hapa ndio zinaingia taasisi kama jeshi la polisi, NEC, n.k. na mpaka kufikia hapo, ule utetezi wa kusema hayo matatizo lazima yashughulikiwe na mahakama za ndani kwanza unakuwa umepoteza maana, mahakama za ndani ni kutimiza formality tu, hazizuii kesi kwenda ICC.
 

denooJ

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
3,925
2,000
Lisu ni mtu wa kumuonea huruma sana anaishi maisha ya shida sana ila haachi kujitutumua ili aonekane yumo
Mpeni pole nyingi sana,kwakweli anatia huruma.
Mungu ampe nafuu kutokana na maradhi yake ya akili.
Naona ndio mnampa pole leo kiaina kwasababu ya zile risasi.

Kusema Lissu anaishi maisha ya shida lazima muonekane vichaa kwenye hii jamii yetu iliyostaarabika, mtu msomi wa aina yake hizo shida azipate wapi?!
 

bagamoyo

JF-Expert Member
Jan 14, 2010
11,545
2,000
Safi sana Mh. Tundu Lissu umefafanua vyema kuwa taarifa zipo katika dawati la Mwendesha Mashitaka Mkuu wa ktk Mahakama ya Kimataifa ya Jinai mjini The Hague Uholanzi yaani ICC- The Hague na zinafanyiwa kazi .

Hiyo ni hatua muhimu ya mwanzo ya ICC The Hague kuchunguza matendo na nyendo za waliopo madarakani (serikalini) kwa mujibu wa Makubaliano ya Mkataba wa Rome wa mwaka 1999 Rome Statute of the International Criminal Court . Mkataba wa Rome unashugulikia manne Mauaji ya kimbari, Makosa dhidi ya binadamu, Makosa ya Kivita, Nchi kuvamia nchi nyingine.

Makosa dhidi ya binadamu yakifanyika mara nyingi dhidi ya wananchi na mara nyingi nayo ni mauaji,kutaka kuangamiza, kuwatia utumwani, kuwahamisha watu , kuwanyima watu huru wao mfano kuwekwa kizuizini kwa namna inayoonesha unawalega kundi fulani, mashambulizi ya ngono, uonevu dhidi ya kikundi kwa sababu ya kisiasa au kidini au rangi au ukabila au ukanda.

Malalamiko dhidi ya Tanzania ni yale ambayo serikali iliyopo madarakani inaonekana kwa makusudi na mbinyo mkubwa inalenga kuumiza kikundi cha watu kwa mindhali ya kisiasa mfano kuwakamata, kuwafunga, kutochunguza kesi, kunyima haki ya dhamana, kukomoa ,kuharibu mali au mashambulizi ya kuumiza mfano viongozi, wagombea, wafuasi wa chama fulani kimekuwa kikishambuliwa n.k


Kwa miaka 5 na mfumo mzima wa serikali ya Tanzania chini ya hatamu za CCM Mpya ikiwemo mihimili yake na taasisi zake za Serikali kuu kutoka Dodoma, Dar es Salaam hadi Zanzibar na serikali za mikoa / wilaya /DEDs kuelekeza nguvu zake zote kukandamiza kikundi fulani na kukiumiza kwa makusudi.
 

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
7,290
2,000
Yani tundu Lissu wema aliowafanyia watanzania na tunayomlipa ni tofauti yani Kama yesu Wayahudi na baraba.

Imagine alivyowapigania watanzania kutambua ukweli dhidi ya wizi uliofanywa na dola na namna alivyopinga Tanzania kuongozwa kidikteta lakini Leo hii Kuna watu wanamsemea mabaya daaah walimwengu aisee ajabu Sana hua siamini Mambo ninayoyaona ambayo yako against Lissu mpaka huwa najiuli aliwakosea nini yeye binafsi?
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom