MKAZI wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete.
Mbali na shitaka hilo...
Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara.
Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote...
Habari zenu wanasiasa.
Natamani huu mfumo mpya Wa GePG uwe Wazima kwa Watanzania wote. Yaani hata ukigongewa mhuri mahakamani ukilipa 500 inaonekana kwa website Fulani ama kwa TBC kila muda na...
Rais huyo wa nchi ya Ethiopia Mheshimiwa Sahle Work Zewde atawasili nchini kesho Januari 25, 2021 kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku moja
Taarifa kwa mujibu wa Waziri Mambo ya Nje na...
Naona JK anakaribia kuandika historia kuwa raisi wa kwanza wa nchii hii kuingia madarakani akiwana na marafiki wengi aliowakabidhi madaraka makubwa na ambao wamekuwa wakipukutika kutoka kwenye...
WAKUU,
Kama umepita barabara ya Chalinze kwenda Moro au toka Moshi kuja Dar utaona haya maahabu, kuna barabra inajengwa toka Msoga (km14 toka Chalinze kwenda Moshi/Arusha), hii inaanzia kijijini...
Moja ya hotuba ya baba wa Taifa,ambayo sehemu yake hurushwa kila siku na ITV mara baada ya taarifa ya habari kama wosia wa baba wa taifa,inasema na hapa nanukuu "mtu anaeona haya kuitetea katiba...
Habari wakuu
Nashindwa kuelewa hivi hawa viongozi wetu akili zimedumaa namna hii, ubunifu hakuna kabisa, nahisi mh rais kuna wakati anajuta kuwateua, wanamwangusha sana, sijui ni woga.
ile shule...
Wadau, Kuna majengo ya Kifahari yamejenga japo Msoga, Pia kuna barabara za lami zinaingia ndani ya Kijiji.
Sijui nani kafanya yote haya? Je, ni JK? Na kama ni yeye, Kafanya kwa hela zipi? Na...
Wakati Marekani ikitangaza kuweka vikwazo kwa baadhi ya maofisa wa Serikali ya Tanzania kwa madai ya kuvuruga uchaguzi mkuu wa Oktoba 28, 2020, Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imejibu madai hayo...
Na. Saidina Msangi na Farida Ramadhani, WFM, Dodoma
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb), amewaagiza wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na Mipango kuacha kufanya kazi kwa...
Kesho (Januari 25, 2021) Tanzania itampokea Mhe. Sahle-Work Zewde, Mwanadiplomasia nguli na Rais wa Ethiopia.
Mama huyu alizaliwa Jijini Addis Ababa mnamo Februari 21, 1950 na kupata elimu ya...
Akizungumza Mkoani Kagera Rais John Magufuli amewataka Viongozi ndani ya Serikali katika maeneo mbalimbali kushughulikia mapungufu yaliyopo.
Akizungumza Mkoani Kagera amesema "Kuna Shule moja ya...
Mwenyekiti wa Chadema kupitia twitter amesema " Tanzania Corona iko tele" na ameitaka serikali kuchukua tahadhari.
Kwa maana nyingine Freeman Mbowe anatuambia CHADEMA inachukua tahadhari zote za...
Wakuu salaam kwenu,
Nimeiona hii video imenisikitisha kwakweli. Daah kuna watoto wanasoma kwenye mazingira mabaya sana. Tazama hiyo video chini inaonesha hali ya mazingira ya darasa mojawapo...
TANZIA: Rais Magufuli afiwa na dada yake Gaudensia Felician Marko Msangwa
> Marehemu amefariki Dunia leo tarehe 17 Mei 2020 huko Chato mkoani Geita
> Anatarajiwa kuzikwa kesho Buzirayombo -...
Aliyewahi kuwa Waziri wa Viwanda na Biashara katika serikali ya awamu ya tatu, Iddi Mohamed Simba amefariki dunia leo.
Taarifa zilizothibitishwa na mtoto wake, Sauda Simba Kilumanga zinasema Iddi...
Kuna taarifa naifanyia kazi sasa nahitaji baadhi ya information muhimu. Ningependa kujua, wakati wa kampeni kuna kituo cha television kilirusha matangazo ya BBC yaliyojumuisha taarifa fulani...
Kwa masikitiko makubwa, tunaomba kuwaarifu kuwa Brigedia Mstaafu Hassan Ngwilizi Amefariki muda mfupi uliopita katika Hospitali ya Jeshi Lugalo alipokuwa akipokea matibabu.
Huyu ndugu aliwahi...
TANZIA: MWENYEKITI WA CHADEMA ILALA AFARIKI DUNIA
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Ilala, Dk Milton Makongoro Mahanga amefariki dunia wakati anapatiwa matibabu...