Kulingana na report ya Ukaguzi ya CAG 2019/20 Serikali inadaiwa na Mifuko ya Jamii PSSSF kiasi cha zaidi ya Tshs. 700 Bilioni ambazo Serikali imekopa toka PSSSF na haijarudisha/kulipa fedha hizo...
Ndio dalili zote zinavyoonyesha, hata kamati za ufundi zimeshawaambia viongozi waandamizi wa CCM watafute la kufanya.
Baadhi ya habari ni kuwa kuna kundi kubwa sana sana ndani ya CCM ambao ni...
Mfuko wa PSSSF unalipa mafao kwa wanachama wake pale wanapo patikana na janga (contingency). Majanga yanayolipiwa ni mafao ya kustaafu, kufariki, ugonjwa, ulemavu, na kukosa ajira.
Mfuko wa...
Serikali imeitaka mifuko ya hifadhi ya jamii nchini kuacha ujanja ujanja badala yake ijikite kulipa mafao kwa wakati kwa wanachama wao wanaostaafu ama kuachishwa kazi.
Imeitaka mifuko hiyo...
Wanajamvi heshima kwenu,
Tangu mwanzo na hata sasa, serikali ya awamu ya tano inajipambanua kama "serikali ya wanyonge". Wananchi wengi sasa wanazidi kuuliza kuwa hawa ni wanyonge wa aina gani...
Tanesco wanazalisha umeme na kuuza kwa taasisi za Serikali. Taasisi za umma zinakusanya pesa na kuziwasilisha hazina moja kwa moja, lakini Tanesco wanakwenda kwenye taasisi za umma kukata umeme...
Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya, Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest, aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu...
MAMIA WAMLILIA PADRE IRENEUS MBAHULIRA
Padre Ireneus Mbahulira(79) amezikwa leo katika makaburi ya mapadre Seminarini Rubya Jimbo Katoliki la Bukoba.
Mazishi yake yameudhuriwa na Maaskofu...
Mpaka sasa nchi wanachama wa jumuiya ya kikanda ya kusini mwa Afrika, SADC imepoteza mawaziri wake kumi ndani ya wiki mbili huku Zimbabwe na Eswatini zikiongoza kwa kila moja kupoteza mawaziri...
Waziri wa TAMISEMI, Selemani Jafo, amesema kutokana na stendi mpya ya mabasi ya Mbezi Luis kuwa na hadhi ya kimataifa, anapendekeza ipewe jina la Dkt. John Magufuli kama sehemu ya shukrani na...
Mama lishe mkoani Mtwara wameiomba serikali kuingilia kati upandaji holela wa bei za mafuta ya kula na unga wa ngano.
Wajasiriamali hao wamedai upandaji bei wa bidhaa mbalimbali kiholela...
SERIKALI imekiri kuwapo kwa utitiri wa mitihani ya majaribio kwa wanafunzi wa shule za msingi za umma na binafsi na imesema mitihani mingi haina ubora kwa maendeleo ya kitaaluma ya watoto.
Katibu...
Salaam Wana JF,
Kupitia ukurasa wa twitter Bwana Freeman Mbowe ambaye ni Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo" CHADEMA" ametumia haki yake ya Kikatiba kushambulia serikali hasa...
MKAZI wa mjini Moshi, Kyefa Joachim Makundi (33), amepandishwa kizimbani akikabiliwa na mashitaka ya kumtukana Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete.
Mbali na shitaka hilo...
Ukweli lazima tuuseme zaidi ya 90% ya madiwani kutoka CCM ni wafanyabiashara au Mawakala wa wafanyabiashara.
Hivyo tusitegemee ubunifu wowote wa maana katika kipindi hiki ambacho mabaraza yote...
Habari zenu wanasiasa.
Natamani huu mfumo mpya Wa GePG uwe Wazima kwa Watanzania wote. Yaani hata ukigongewa mhuri mahakamani ukilipa 500 inaonekana kwa website Fulani ama kwa TBC kila muda na...
Rais huyo wa nchi ya Ethiopia Mheshimiwa Sahle Work Zewde atawasili nchini kesho Januari 25, 2021 kwa ziara rasmi ya Kiserikali ya siku moja
Taarifa kwa mujibu wa Waziri Mambo ya Nje na...
Naona JK anakaribia kuandika historia kuwa raisi wa kwanza wa nchii hii kuingia madarakani akiwana na marafiki wengi aliowakabidhi madaraka makubwa na ambao wamekuwa wakipukutika kutoka kwenye...
WAKUU,
Kama umepita barabara ya Chalinze kwenda Moro au toka Moshi kuja Dar utaona haya maahabu, kuna barabra inajengwa toka Msoga (km14 toka Chalinze kwenda Moshi/Arusha), hii inaanzia kijijini...