Taarifa kwa Umma: Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo kugawa kadi za Bima ya Afya (NHIF) bure kwa wenye ulemavu 100

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,208
4,705
Ni tukio la kuvutia na kufurahisha

Mhe. Mrisho Gambo atagawa bure kadi za bima ya afya kwa Wenye ulemavu 100

Shughuli nzima ofisini kwa mbunge huyo kuanzia saa 3 asubuhi

Nyote mnakaribishwa

Hongera sana Mhesh Mbunge
 
Punguza njaa zako wewe Lumumba, hayo ya Gambo hayatuhusu
 
Mmmh hebu fuatilia vizuri hilo tukio. Ni kadi za NHIF au CHF.? Nijuavyo mimi gharama za kujiunga na NHIF zipo juu sna, na ikiwa ni kadi NHIF aseee nampa heko Sana.
 
Back
Top Bottom