Mbunge wa Viti Maalum, Judith Kapinga ameomba Serikali kuangalia upya suala la kampuni za simu kupandisha vifurushi vya intaneti bila taarifa
Amefafanua kuwa, "Natambua Tafiti zinaonesha Tanzania...
Huwezi kuwa Rais wa nchi kupitia chama cha siasa halafu ukawaahidi wananchi (wote) kupumzika endapo tu watajiunga na chama chako. Sio tu ni dharau kubwa kwa wananchi bali pia ni ishara ya...
Mabeberu wana mbinu nyingi. Mbinu mojawapo ni kushawishi nchi zinazojitokeza kujikita katika miradi ya gharama sana. Soma Confessions of an Economic Hitman.
Ni muhimu sana watu wakisome ...
BBC wamekua wepesi sana kurusha matamko dhidi ya Tanzania yatolewayo na shirika la afya duniani kupitia wakurugenzi wake kuhusiana na ugonjwa wa covid 19 hasa yale yenye kuonyesha mbinyo kwa nchi...
(Reuters) - Britain is banning all arrivals from Tanzania and Democratic Republic of Congo from Friday to stop the spread of the South Africa COVID-19 variant, transport secretary Grant Shapps...
Unaweza kujiuliza wabunge zaidi ya 390 wana kazi gani ya maana ukilinganisha na maslahi makubwa wanayolipwa?
Tume ya Katiba Mpya iliyoongozwa na mzee Warioba ililiona hili na kupendekeza idadi ya...
Nimewasikiliza katika nyakati tofauti wabunge toka sehemu mbali mbali nchini Tanzania na nimewakubali.
Wabunge Nape, Kanyasu, Msukuma na hata yule mbunge wa viti maalum kwa kweli wamenikosha...
Tunawajua nyie ni watu wa kutake advantage kwenye kila tukio
Huko nyuma mlizoea kudandia ufisadi kama hoja kuu iliyowabeba kisiasa. Lakini zaidi ya miaka nne hamjabamba hoja ya ufisadi ya...
Hivi karibuni kumeibuka manung'uniko makubwa ya uonevu kwa wafanyabiashara kuhusu tozo kubwa za kodi.
Mishale na lawama wamekuwa wakitupiwa ndugu zetu wa TRA.
Lakini, ukichunguza kwa umakini...
Jana Februari 05, 2021 Mbunge wa Jimbo la Chonga-Pemba kupitia tiketi ya chama cha ACT–Wazalendo ndugu, Salum Mohammed Shafi aliibua hoja Bungeni ya kudai haki ya Masheikh wa Uamsho iweze...
Kodi ni uti wa mgongo wa uchumi wa taifa lolote, lakini kodi nyingi zisizolipika ni chanzo cha kuanguka dola lolote duniani. Ukisoma historia madola mengi yalianguka baada ya watawala kuwatoza...
DENI la Taifa limefikia Sh. trilioni 59 hadi kufikia Disemba mwaka jana, ikilinganishwa na Sh. trilioni 54.8 kwa kipindi kama hicho mwaka 2019, sawa na ongezeko la asilimia 7.6, huku Bunge likitoa...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema nguvu inayotumika kupambana na wabadhirifu wa mali za umma visiwani humo si nguvu ya soda na mapambano hayo ndio kwanza yameanza.
Kadhalika, amesema...
Kwa jinsi Rais Magufuli anavyokwenda ,na kwa kuzingatia anavyoichekecha nchi kila kona ,mwaka 2025 natarajia kuona maandamano makubwa kutoka kwa watu hawa
1.Wamachinga, mama ntilie na boda boda...
Tarehe 7 Disemba 2020 Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi alimwapisha Mwenyekiti wa ACT Wazalendo Maalim Seif Sharif Hamad kuwa Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na hivyo Kutekeleza Katiba ya...
Kufuatia tahadhari zinazoendelea kutolewa na taasisi mbalimbali za elimu ya juu Nchini ikiwemo Chuo kikuu cha Daressalaam (UDISM) na chuo kikuu Huria (OUT), Chuo Kikuu cha Sokoine Cha Kilimo (SUA)...
Hakuna ubishi kweli unafanya kazi nzuri, kujenga miundo mbinu, zahanati, vituo vya afya na hospitali. Hakuna ubishi umeinyoosha nchi iliyokuwa imepinda.
Ila hali yetu wananchi ni mbaya sana...
Mgombea Ubunge wa jimbo la Ubungo Prof Mkumbo leo amesali katika Kanisa la KKKT Kimara na hajatakiwa kuongea chochote kwa sababu yeye ni mgombea wa chama cha siasa.
Hata hivyo mchungaji Matsai...
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali ya Rais Magufuli hairidhishwi na kasi ya mkandarasi katika mradi wa ujenzi wa miundombinu ya mwendo kasi wilayani Temeke.
Gondwe amempa...
Inaaminika kuwa mwezi wa pili (Februari) ni mwezi wa mtu mweusi, Mwafrika. Ilianzia huko Marekani na sasa ni dunia nzima. Pia huu ndio mwezi wa upendo ukiwa na Valentine's Day yaani Februari 14...