Nimewasikia wabunge wakiionya Serikali ya Magufuli kuacha kukusanya kodi kwa "task force" yani Polisi, TRA na Afisa wa Usalama Taifa.
Matokeo yake pesa zao zinaporwa, wanafunga biashara, wanajiondokea. TRA wanadanganya eti biashara zinafungwa lakini zinafunguliwa nyingi. Uongo wa mchana.
Ndugu zangu nimefanya ziara ya kimya kimya jijini Dar. Ukweli tangazo la "To Let" sasa ni kila mahali maana waliokuwemo wamefunga biashara kwa kuogopa kesi za uhujumu uchumi na pesa zinapokwa Benki.
Iddi Amin alijaribu mtindo huu wa ukusanyaji wa kodi kwa "task force". Matokeo yake wafanyabiashara wa ki-Asia wakakimbia Uganda na kwenda kwingine duniani hasa Canada.
Alipoingia madarakani Yoweri Museven akigundua tatizo hilo. Ni mtaalamu wa Tanzania wa uchumi aliyekwenda Uganda na kushauri kuanzishwa URA. Leo, Uganda unaongoza EAC kwa ukusanyaji wa kodi kwa hiari na maelewano. Wametoa elimu ya kodi si Polisi.
Ziara yangu kupitia umoja wa wafanyabiashara wa ki-Asia wapatao 639 tayari wamefunga na kuondoka nchini. Wengine 29 wameanza kufunga watajiondokea.
Mwisho sekta ya biashara itazama. Serikali iwe makini kwenye hili. Uhujumu uchumi isiwe rungu.
Ilimgharimu Museveni kuwabembeleza waliokimbia kurejea Uganda akakaa nao kirafiki akiwaambia, "tushirikiane kuijenga upya Uganda". Tujitafakari.