Neema Mwandamila asema bungeni ni kuzuri, kutoka unaweza kutamani kutoa roho ya mtu

Duuh aisee hii kauli itamcost baadaye inaweza kuwa wakati wa kampeni akafa ndugu yake wa karibu au mzazi. Wakamletee hiyo clip atashangaa dunia isivyo na huruma, wakamwambia wewe ndiye umemtoa kafara ili upite,umakini unahitajika mahali popote unapotoa kauli hasa miaka hii ya technologia.
 
Wachawi na wanafiki wameanza kujieleza na kujitanabaisha! Na hili halijatokea kwa bahati mbaya Bali ni mpango wa Mungu wa kutaka tuyajue yaliyo kwenye mioyo yao ili tujitunze namna Bora ya kuiehi nao na hata kujitahadhirisha nao kwani ni watu hatari!

Msidhani yupo peke yake, wapi wengi humo ccm na bungeni!
 

Huyu dada kipindi anaomba kura kwa wajumbe alipiga magoti hadi akalia sana
Bado hakuwa mshindi wa 1,akawa wa 2..wajumbe wa Songwe
Kama bahati tu CCM ikashinda kwa kishindo hadi viti maalum kupewa wawili wawili.
 
Hao Eti Ccm Mpya
Wanawaza Uzuri Wa Bunge Hasa Eneo La Salary, Sitting Allowance, Loans, Bima Kubwa Ya Afya
Kasahau Shida Za Wananchi, Anawaza Kutoa Roho
 
Duuh aisee hii kauli itamcost baadaye....inaweza kuwa wakati wa kampeni akafa ndugu yake wa karibu au mzazi.....wakamletee hiyo clip atashangaa dunia isivyo na huruma, wakamwambia wewe ndiye umemtoa kafara ili upite umakini unahitajika mahali popote unapotoa kauli.
Mkuu naomba comment yako tuitunze kwenye ansadi kwa ajili ya vizazi vijavyo.
 
Back
Top Bottom