Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Serikali lazima iweke uwazi, kodi za majengo zinatakiwa zilipwe kulingana na thamani ya jengo husika na thamani ya majengo huongozwa na hadhi ya sehemu husika. Mfano jengo la Kariakoo haliwezi...
9 Reactions
34 Replies
5K Views
Mkuu wa mkoa wa Mwanza Mh Mongela amesema Idara ya uhamiaji mkoani humo imefanikiwa kumkamata David Kasesela ambaye ni master mind wa biashara ya kusafirisha biashara haramu. Mongela amesema kwa...
6 Reactions
47 Replies
7K Views
Ni sahihi pia kusema Tanzania kuna 'Public Policy Crisis'. Ntatumia neno Sera nikimaanisha 'Public Policy'. Sera ni nini? Sera unaweza kusema ni sheria au miongozo ambayo inawekwa ili kutatua...
4 Reactions
2 Replies
2K Views
Wakuu amani iwe nanyi. Hivi Jana tarehe 10 Februari waziri wa kilimo prof Mkenda alitoa msimamo wa Serikali juu ya sharehe za maonesho ya kilimo ya wakulima Nanenane, ambapo alisema kuwa serikali...
7 Reactions
39 Replies
4K Views
Kwanini hoja zilezile zilizotolewa kwenye bunge Mwaka 2015-2020 ndizo zinazoibuliwa leo na wabunge wa CCM wakati kipindi zinatolewa walizipinga? Hoja ya kutumia taskforce kukusanya kodi iliezwa...
4 Reactions
3 Replies
851 Views
MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Pemba, Salama Mbarouk Khatib, amekishauri Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kujikita katika ufanyaji wa tafiti zenye lengo kutathimini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mganga Mkuu wa Serikali Prof Abel Makubi amewataka watanzania kuchukua tahadhari dhidi ya magonjwa ya kuambukiza na yasiyoambukiza kadhalika wajikinge wenyewe na kuwakinga wengine. Makubi...
24 Reactions
114 Replies
14K Views
Msemaji wa Tanzania Dkt Hassan Abbas amesema Tanzania inakabiliana na janga la corona kwa kutumia dawa za asili. DKt Abbas alimwambia mwandishi wa habari wa BBC,Salim Kikeke kuwa Tanzania...
1 Reactions
47 Replies
5K Views
Mbunge wa Mbulu Mjini (CCM), Zacharia Isaay ametaka Serikali ya Tanzania kueleza wazi kuhusu alichokiita ugonjwa wa kupumua ambao anasema unamaliza watu wa Mbulu. Isaay amezungumza kwa hisia kali...
29 Reactions
148 Replies
19K Views
Katika hali ya Kushangaza kabisa na hakuna anayeamini ni kwamba hivi sasa Watu wawili ambao walikuwa ni Marafiki wakubwa mno kiasi kwamba wamefanya ‘ Dhambi ‘ nyingi nchini Kenya ambazo...
5 Reactions
34 Replies
5K Views
Kuna suala ambalo linatakiwa lifanyike kwenye elimu ambapo lingemsaidia Mheshiwa Rais katika suala la kujenga nchi kwenye uchumi wa viwanda. Tunapojenga uchumi wa viwanda mtaala wa elimu...
1 Reactions
11 Replies
818 Views
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe, Mkoa wa Kigoma Ndugu Atashasta Nditiye alipata ajali ya gari juzi Alfajiri Dodoma. Taarifa ni kuwa ametangulia mbele ya haki mapema leo. Pumzika vema mzee Nditiye...
11 Reactions
184 Replies
32K Views
Atashasta Nditiye(R.I.P) aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Muhambwe huko Mkoani Kigoma amefariki dunia leo Unadhani CHADEMA wanapaswa kushiriki uchaguzi mdogo utakaoitishwa kwenye jimbo hilo au...
0 Reactions
46 Replies
5K Views
Kama kuna watu ambao huwa nawaona ni waropokaji hapa Tanzania ni huyu mbunge na mchungaji kondoo aitwaye Gwajima aka askofu Rashid. Hivi huyu askofu Gwajima anajiona ana akili sana au ndio...
35 Reactions
89 Replies
8K Views
Dkt. John Magufuli amesema haiwezekani kutengeneza Ajira Milioni 8 bila Viwanda, akisema itakuwa ni ndoto. Ametoa kauli hiyo leo wakati anazindua Kiwanda cha Kukoboa Mpunga Mkoani Morogoro...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Naomba anaweza kutupa taarifa juu ya huyu Bwana atujuze alipo maana muda mfupi uliopita nimesoma taarifa inayofanya nihoji kuhusu alipo. Mwenye majibu tafadhali
4 Reactions
27 Replies
3K Views
Meneja Mawasiliano wa DAWASA, Everlasting Lyaro, akizungumza katika mkutano huo Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar-es-salaam (DAWASA) pamoja na Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Muswada huo unapendekeza marekebisho katika Sheria ya Tafsiri ya Sheria (Sura ya 1), Sheria ya Mahakama za Migogoro ya Ardhi (Sura ya 216) na Sheria ya Mahakama za Mahakimu (Sura ya 11).
0 Reactions
23 Replies
4K Views
Wotu tunafahamu kuwa serikali haina dini ila ni serikali hii hii inayosimamia uanzishwaji wa makanisa na misikiti na hata kuyasajili. Binafsi naona wakati umefika serikali isiishie katika...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Public health From Wikipedia, the free encyclopedia Public health has been defined as "the science and art of preventing disease”, prolonging life and improving quality of life through organized...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…