CCM hawapaswi kulalamika, Wapinzani walishayaongea

Papy ndombe

JF-Expert Member
Oct 24, 2020
3,762
4,516
Wapinzani wamelalamika sana juu ya matajiri kusomeshwa namba ikiwemo Kodi kubwa. Wakapewa majina yote mara ni wapiga dili, wahujumu, wanatumika na mabeberu.

Wakiongea, CCM huwapotezea muda kwa kuomba miongozo nk. Leo CCM wanalalamika biashara zinakufa sababu ya kodi, huku ni kupingana na falsafa ya mwenyekiti ya matajiri kuishi kishetani yafaa wajadiliwe kamati kuu ukiwa CCM uruhusiwi kulalamika.

Kodi kubwa uchochea ukwepaji na kupelekea makusanyo kiduchu.

Kina msukuma baada ya kupigwa mnada mali zao na bank akili zimerudi likizo hata nao wanawalaumu TRA ambao wao wanatii maagizo ya kufikia target.


 
CCM wanapenda sana kutuchezea akili! Inatengeneza yenyewe tatizo, halafu baadae inakuja kulalamika tena.

Wamefanya hivyo kwenye mikataba ya madini, ubinafsishaji, uuzaji wa nyumba za serikali, kikokotoo na sasa kwenye hizi riba kubwa wanazo tozwa wanufaika wa Bodi ya Mikopo.
 
Msukuma nini mali yake ilipigwa mnada..this is great news, nilikuwa sijasikia. GOOD!
We uoni anaomba boss wake aongezewe mda,hofu akiingia mwingine wataishije Hali Wana mikopo mikubwa ya mda mrefu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom