Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,207
- 4,702
Ni habari njema kwa wapenda maendeleo wote nchini Tanzania shukrani kwa Uongozi imara wa Mhesh Rais Dkt John Pombe Magufuli.
Serikali ya Tanzania itapokea tshs bilioni 8 mahsusi kwa ajili ya kuendeleza mradi maalumu wa kuendeleza samaki aina ya migebuka wanaopatikana kwa wingi Mkoani Kigoma na dagaa.
Mradi huo wa kimkakati wenye lengo la kuinua sekta ya uvuvi nchini utafadhiliwa na Umoja wa Ulaya almaarufu European Europe.
Chanzo: Habari leo