Cheo ni dhamana liwe funzo kwa vijana

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Leo nimeamini kuwa cheo ni dhamana hakika.

Msafara wa mh rais wa JMT mkoani dsm.

Haijazoeleka kwenye akili za watu hasa wakaazi wa dsm kushuhudia shughuli za ufunguzi wa miradi kama ya leo kutomuona na kumsikikiza Paul Makonda akihutubia.

Hakika hili liwe fundisho kwa vijana wanao kabidhiwa majukumu ya kuwaongoza wananchi kuwa madaraka ni sawa na nguo ya kuazima.

Leo hii Paul Makonda kageuka mtazamaji na msikilizaji tu wa hotuba za viongozi wakuu na wale wa mkoa wa Dsm!!!


Hili liwe fundisho.
 
Sio Bongo.
Mkimsimanga sana tutamrudisha tena juu.
Jamaa alipanda kwa kujudi zake za kujilipua na ikitokea mwanya au ombwe kidogo tu utashangaa anacapitalize na kurudi kwenye game ya siasa.

Yule huwa namfananisha na Rud van Nestroy. Muda wowote anaweza kujadili matokeo.

Usimchukulie poa
Safari hii hakuna wa kupigwa kofi
 
....kwamba unayo hakika Paul haitawezekana tena kupewa madaraka pengine ya juu kuliko aliyopata kuwa nayo awali?!

Acha ushamba na uache wakati uamue.
 
Kuna kazi nyingi serikali ndugu kuwa na maneno ya akiba!!

Kuna picha kuna siku nitaweka hapa ya Magufuli na Makonda kwa makonda kusimamia miradi ya Magufuli
 
And Mzee Kunenge ni very humble guy, na mchapakazi hasa, ana tabia zote za Hussein Mwinyi. Hii Miradi angekuwa makondakta hadi leo ingekuwa bado, maneno mingi na siasa kila mahala. Kudos to RC wa DSM, JPM kamkubali sana leo. Na hana mambo ya kusifia kibwegebwege, anasifia kwa mipaka ya kiuongozi.
 
Wabongo tuna shida Sana aisee!!!!. Mwenzako anaendelea kula Raha kwa pesa alizokwisha kujikusanyia Wewe mwenzangu na mimi Mwajuma Ndala ndefu,unaanza kumjadili na kudhani kuwa amekomolewa.Hata Yesu alipoona wanawake wanamlilia aliwaambia "Msinililie Mimi,bali jililieni ninyi na watoto wenu".
 
Back
Top Bottom