Askofu Bagonza: Kuzuia taharuki ni kuleta TAHARUKI

BAK

JF-Expert Member
Feb 11, 2007
124,790
288,005
KUZUIA TAHARUKI KUNALETA TAHARUKI

Kuwazuia watu kuogopa kitu kinachoogopesha ni kuwakosea haki watu hao. Binadamu kamili huogopa. Kutoogopa kinachoogopesha ni kasoro ya kimaumbile hata kama si dhambi.

Hatari huogopesha. Hatari isiyoogopesha si hatari tena. Hatari inayoogopesha imekamilika, siyo feki.

Mwenyezi Mungu anapoagiza TUSIOGOPE haina maana kuwa hakuna hatari. Anasema MSIOGOPE kwa sababu anajua iko hatari.

Kuzuia watu wasiwe na taharuki kwa jambo lenye taharuki ni kusababisha taharuki. Kwa mfano:

1. Kutovaa barakoa katikati ya waliovaa barakoa ni kuzua taharuki.

2. Kutovaa barakoa katika mazishi ya mtu aliyekufa kwa Corona ni kuleta taharuki zaidi.

3. Kuwakejeli wanaotahadharisha juu ya uwepo wa Corona ni kustawisha taharuki.

4. Kuzuia matangazo ya taarifa za Corona au kumilikisha taarifa hizo ni kustawisha taharuki.

5. Kusema hakuna taharuki ni kuchochea taharuki.

6. Kukemea matamko, mahubiri na nyaraka za kuelimisha kuhusu Corona ni kuchochea taharuki.

7. Kuona majeneza mengi airport, misururu ya Coaster na ibada za mazishi kunazua taharuki hata pasipo kutangaza chanzo cha kifo.

8. Kuona hospitali zinatangaza nafasi za kazi za watunza Mortuary kunaleta taharuki.

9. Kuona mafundi majeneza wakitafuta mbao kwa wingi kunaongeza taharuki.

10. Ongezeko la bei ya malimao, tangawizi, vitunguu na asali kunaongeza taharuki.

KWA hiyo taharuki ni sehemu muhimu ya ugonjwa wa Corona. Bila taharuki, Corona haiwi Corona na Elimu haitolewi kikamilifu. Corona bila taharuki haiwezekani. Jitihada za kuondoa taharuki, zinaongeza taharuki. Wanaoshtakiwa kwa kusababisha taharuki ni mashujaa wa vita hii, watastahili nishani ushindi ukipatikana. Zingatia, chukua hatua.
 
Taharuki inamezwa na utafutaji wa mkate wa kila siku,tungelikuwa tunakula mkate wa kiroho ili tushibishe nafsi na miili yetu taharuki isingelikuwa na nafasi.

Kinachoonekana leo ni ule msemo wa "only the fittest will survive " .

Muhimu ni kuchukua tahadhali.
 
Tumuombee ili siku moja atamke katiba bora
JamiiForums2000099441.jpg
 
Hivi amefunga makanisa kwenye dayosisi yake tena?
Kulinda usalama na ustawi wa watu ni jukumu kuu na la msingi la serikali yoyote duniani. Serikali isikwepe jukumu lake la msingi, CORONA haiwezi kushindwa kwa juhudi za mtu binafsi bali kwa ushiriki wa watu wote.
 
KUZUIA TAHARUKI KUNALETA TAHARUKI

Kuwazuia watu kuogopa kitu kinachoogopesha ni kuwakosea haki watu hao. Binadamu kamili huogopa. Kutoogopa kinachoogopesha ni kasoro ya kimaumbile hata kama si dhambi.

Hatari huogopesha. Hatari isiyoogopesha si hatari tena. Hatari inayoogopesha imekamilika, siyo feki.

Mwenyezi Mungu anapoagiza TUSIOGOPE haina maana kuwa hakuna hatari. Anasema MSIOGOPE kwa sababu anajua iko hatari.

Kuzuia watu wasiwe na taharuki kwa jambo lenye taharuki ni kusababisha taharuki. Kwa mfano:

1. Kutovaa barakoa katikati ya waliovaa barakoa ni kuzua taharuki.

2. Kutovaa barakoa katika mazishi ya mtu aliyekufa kwa Corona ni kuleta taharuki zaidi.

3. Kuwakejeli wanaotahadharisha juu ya uwepo wa Corona ni kustawisha taharuki.

4. Kuzuia matangazo ya taarifa za Corona au kumilikisha taarifa hizo ni kustawisha taharuki.

5. Kusema hakuna taharuki ni kuchochea taharuki.

6. Kukemea matamko, mahubiri na nyaraka za kuelimisha kuhusu Corona ni kuchochea taharuki.

7. Kuona majeneza mengi airport, misururu ya Coaster na ibada za mazishi kunazua taharuki hata pasipo kutangaza chanzo cha kifo.

8. Kuona hospitali zinatangaza nafasi za kazi za watunza Mortuary kunaleta taharuki.

9. Kuona mafundi majeneza wakitafuta mbao kwa wingi kunaongeza taharuki.

10. Ongezeko la bei ya malimao, tangawizi, vitunguu na asali kunaongeza taharuki.

KWA hiyo taharuki ni sehemu muhimu ya e chake ugonjwa wa Corona. Bila taharuki, is Corona haiwi Corona na Elimu haitolewi kikamilifu. Corona bila taharuki haiwezekani. Jitihada za kuondoa taharuki, zinaongeza taharuki. Wanaoshtakiwa kwa kusababisha taharuki ni mashujaa wa vita hii, watastahili nishani ushindi ukipatikana. Zingatia, chukua hatua.
Huyu Askofu alitakiwa kuwa wa kwanza kuelewa kinachoelezwa na serikali kinyume chake hata ukimwimbia usiku kucha Ni kupoteza muda. Watu wengine si riziki unaweza kuwalaumu bure tu!! Askofu hajui madhara ya hofu na hajui kuepusha hofu kwa namna yoyote ile ni manufaa kwa jamii!! Kama Askofu yuko hivyo ni pole kubwa kwa wafuasi!!
 
Kwani yeye si askofu atangaze waumini wake wasiende kanisani au wakae lockdown kwani kuna mtu kamkataza
Kanisa letu linakichwa cha kutengeneza taharuki kila kukicha sijui hawamuoni.
Askofu anaitukuza siasa za malimwengu kuliko siasa za kiroho.
It's better abadilike, Hana anachopata zaidi ya kujionyesha hamwabudu Mungu wa kweli bali anasimamia tu vya Kalisari.
 
Mungu akulinde baba Askofu..
Umenena neno lililo bora kwa maslahi ya wa Watanganyika.
Wenye akili watakuelewa,
Usivunjwe moyo na wale wanaojifanya hamnazo.
 
KUZUIA TAHARUKI KUNALETA TAHARUKI

Kuwazuia watu kuogopa kitu kinachoogopesha ni kuwakosea haki watu hao. Binadamu kamili huogopa. Kutoogopa kinachoogopesha ni kasoro ya kimaumbile hata kama si dhambi.

Hatari huogopesha. Hatari isiyoogopesha si hatari tena. Hatari inayoogopesha imekamilika, siyo feki.

Mwenyezi Mungu anapoagiza TUSIOGOPE haina maana kuwa hakuna hatari. Anasema MSIOGOPE kwa sababu anajua iko hatari.

Kuzuia watu wasiwe na taharuki kwa jambo lenye taharuki ni kusababisha taharuki. Kwa mfano:

1. Kutovaa barakoa katikati ya waliovaa barakoa ni kuzua taharuki.

2. Kutovaa barakoa katika mazishi ya mtu aliyekufa kwa Corona ni kuleta taharuki zaidi.

3. Kuwakejeli wanaotahadharisha juu ya uwepo wa Corona ni kustawisha taharuki.

4. Kuzuia matangazo ya taarifa za Corona au kumilikisha taarifa hizo ni kustawisha taharuki.

5. Kusema hakuna taharuki ni kuchochea taharuki.

6. Kukemea matamko, mahubiri na nyaraka za kuelimisha kuhusu Corona ni kuchochea taharuki.

7. Kuona majeneza mengi airport, misururu ya Coaster na ibada za mazishi kunazua taharuki hata pasipo kutangaza chanzo cha kifo.

8. Kuona hospitali zinatangaza nafasi za kazi za watunza Mortuary kunaleta taharuki.

9. Kuona mafundi majeneza wakitafuta mbao kwa wingi kunaongeza taharuki.

10. Ongezeko la bei ya malimao, tangawizi, vitunguu na asali kunaongeza taharuki.

KWA hiyo taharuki ni sehemu muhimu ya ugonjwa wa Corona. Bila taharuki, Corona haiwi Corona na Elimu haitolewi kikamilifu. Corona bila taharuki haiwezekani. Jitihada za kuondoa taharuki, zinaongeza taharuki. Wanaoshtakiwa kwa kusababisha taharuki ni mashujaa wa vita hii, watastahili nishani ushindi ukipatikana. Zingatia, chukua hatua.
Baba Askofu na azidi kuliombea Taifa na waumini wake aliokabidhiwa na Mungu, isije mwishowe Corona ikapokonya muumini wake mmoja halafu siku ya mwisho akaja kudaiwa atoe hesabu. Anahangaika muno na Siasa kuliko waumini wake
 
Hivi amefunga makanisa kwenye dayosisi yake tena?
Kulinda usalama na ustawi wa watu ni jukumu kuu na la msingi la serikali yoyote duniani. Serikali isikwepe jukumu lake la msingi, CORONA haiwezi kushindwa kwa juhudi za mtu binafsi bali kwa ushiriki wa watu wote.
Je makanisa kwenye dayosisi yake ameyafunga ili kuunga juhudi kutokomeza corona?
Jaribu kuwa muelewa mkuu, kwanini usiruhusu ubongo wako ufanye kazi.
 
KUZUIA TAHARUKI KUNALETA TAHARUKI

Kuwazuia watu kuogopa kitu kinachoogopesha ni kuwakosea haki watu hao. Binadamu kamili huogopa. Kutoogopa kinachoogopesha ni kasoro ya kimaumbile hata kama si dhambi.

Hatari huogopesha. Hatari isiyoogopesha si hatari tena. Hatari inayoogopesha imekamilika, siyo feki.

Mwenyezi Mungu anapoagiza TUSIOGOPE haina maana kuwa hakuna hatari. Anasema MSIOGOPE kwa sababu anajua iko hatari.

Kuzuia watu wasiwe na taharuki kwa jambo lenye taharuki ni kusababisha taharuki. Kwa mfano:

1. Kutovaa barakoa katikati ya waliovaa barakoa ni kuzua taharuki.

2. Kutovaa barakoa katika mazishi ya mtu aliyekufa kwa Corona ni kuleta taharuki zaidi.

3. Kuwakejeli wanaotahadharisha juu ya uwepo wa Corona ni kustawisha taharuki.

4. Kuzuia matangazo ya taarifa za Corona au kumilikisha taarifa hizo ni kustawisha taharuki.

5. Kusema hakuna taharuki ni kuchochea taharuki.

6. Kukemea matamko, mahubiri na nyaraka za kuelimisha kuhusu Corona ni kuchochea taharuki.

7. Kuona majeneza mengi airport, misururu ya Coaster na ibada za mazishi kunazua taharuki hata pasipo kutangaza chanzo cha kifo.

8. Kuona hospitali zinatangaza nafasi za kazi za watunza Mortuary kunaleta taharuki.

9. Kuona mafundi majeneza wakitafuta mbao kwa wingi kunaongeza taharuki.

10. Ongezeko la bei ya malimao, tangawizi, vitunguu na asali kunaongeza taharuki.

KWA hiyo taharuki ni sehemu muhimu ya ugonjwa wa Corona. Bila taharuki, Corona haiwi Corona na Elimu haitolewi kikamilifu. Corona bila taharuki haiwezekani. Jitihada za kuondoa taharuki, zinaongeza taharuki. Wanaoshtakiwa kwa kusababisha taharuki ni mashujaa wa vita hii, watastahili nishani ushindi ukipatikana. Zingatia, chukua hatua.
Umejivisha uwakala wa unafiki ambao hauna ujira wa nafsi, mwili na roho hivyo unapoteza muda kutumika kama kipaza sauti isiyo nauhusiho
 
Back
Top Bottom