Sheria kandamizi zasababisha niachishwe ajira yangu

Cathelin

JF-Expert Member
Sep 21, 2018
2,071
3,994
Wakuu nina hasira, nina hasira na huu utawala.

Nilihitimu chuo miaka kadhaa iliyopita, ajira Kama mnavyojua JPM haipi kipaumbele, basi nikahangaika hadi kupata kazi kwenye NGO moja ya kimarekani.

Sasa mwaka huu Bunge la Serikali imebadilisha Sheria ya NGO eti lazima NGO zisubmit pesa zinazokusanya kutoka kwa donors na volunteers, halafu serikali ndio inazipangia matumizi ya hela, yaani NGO watafute wafadhili wapate pesa , halafu wailetee Serikali ndio iwapangie matumizi ya pesa waliyoitafuta kwa jasho.

Director wetu Mmarekani amekataa kata kata kufanya huo ujinga, na ametangaza kufunga NGO, na wafanyakazi takribani 30 tumepoteza kazi

I hate CCM, I hate Magufuli, I hate bunge la Ndugai.

Jamani Lissu tuokoe tunateseka

=====

Je, sheria inasemaje?

Soma: http://mcdgc.go.tz/data/GN_609_NGOs_ACT_AMENDMENTS.pdf
 
Pole Sana hivi serikali inajua jinsi hela za Donor zinavokuwa strictly pia mipango ya miradi husika na requirement zake, donor wenyewe kutoa hela huwa na condition's zao Sasa serikali iwapangie matumizi na hivi donor huwa wanajua weusi wote ni wapigaji na hawako serious lazima wajitoe miradi mingi na watu watakosa ajira na hata beneficiaries wa miradi. Hyo Sheria ni mbaya
 
Mimi ningependa kujua zaidi ya hivyo. Hiyo NGO inaitwaje? Maana mimi nipo kwenye NGO sector, more than 6 yrs now; na sijasikia hicho anachokisema; Watu wanapiga kazi kama kawa, na sijasikia kabisa sheria ya hivyo
Kuna Sheria mpya kuhusu NGOS na zilijisajili upya though sijafatilia kwa undani zaidi na hii Sheria kina kipindi ililalamikiwa so watu hawakufatilia vile bunge huwa haliko live
 
Kuna Sheria mpya kuhusu NGOS na zilijisajili upya though sijafatilia kwa undani zaidi na hii Sheria kina kipindi ililalamikiwa so watu hawakufatilia vile bunge huwa haliko live
Hiyo najua, na ni kweli; na NGOs nyingi zimeshafanya hivyo, ila sio kwamba eti kila NGO itatakiwa kuwa inapeleka pesa zote inazozipata serikalini kisha iwapangie cha kufanya... Hiyo kwa kweli sijasikia wala kuona
 
Ndio utayaona sasa
 
Na Kuna Mambo mengi yameanza kutekelezwa na miradi mingi donors wamejitoa eeeh hadi Magufuli aondoke watu watakuwa wamelimia meno
 
Hiyo najua, na ni kweli; na NGOs nyingi zimeshafanya hivyo, ila sio kwamba eti kila NGO itatakiwa kuwa inapeleka pesa zote inazozipata serikalini kisha iwapangie cha kufanya... Hiyo kwa kweli sijasikia wala kuona
Kuna conditions nyingi zimekuwa introduced nadhani Sasa ni utekelezaji na hivi sikuhizi vitu vinatungwa na bunge watu hawafahamu. Hafu serikali kufanya hivo itaua haya mashirika ya donor funded na miradi kukoma, hapo ndo watu wengi kukosa ajira
 
Mimi ningependa kujua zaidi ya hivyo. Hiyo NGO inaitwaje? Maana mimi nipo kwenye NGO sector, more than 6 yrs now; na sijasikia hicho anachokisema; Watu wanapiga kazi kama kawa, na sijasikia kabisa sheria ya hivyo
Kuna sheria mpya kuhusu NGOs japo sina uhakika inalazimisha pesa zote kupelekwa Serikalini. Ninachojua kulikuwa na mapendekezo kuwa pesa za NGOs zote zipitie BOT, na matumizi yake, taarifa ipelekwe Serikalini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nina hasira, nina hasira na huu utawala.

Nilihitimu chuo miaka kadhaa iliyopita, ajira Kama mnavyojua JPM haipi kipaumbele, basi nikahangaika hadi kupata kazi kwenye NGO moja ya kimarekani.

Sasa mwaka huu Bunge la Ndugai na Jiwe wamebadilisha Sheria ya NGO eti lazima NGO zisubmit pesa zinazokusanya kutoka kwa donors na volunteers, afu serikali ndo inazipangia matumizi ya hela, yaani NGO watafute wafadhili wapate pesa , afu wailetee serikali ndo iwapangie matumizi ya pesa waliyoitafuta kwa jasho.

Director wetu mmarekani amakataa kata kata kufanya huo ujinga, na ametangaza kufunga NGO, na wafanyakazi takribani 30 tumepoteza kazi

I hate CCM, I hate Magufuli, I hate bunge la Ndugai.

Jamani Lisu tuokoe tunateseka
sasa siuombe kazi tena kwenye hiyo NGO nyingine ya ufipa wewe vp bwana?
 
Back
Top Bottom