Taifa la waliokata tamaa maisha, ila hakuna namna mpaka mitano ikatike

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Oct 2, 2020
4,086
6,568
Biashara za Wananchi zimekufa, Wafanyabiashara wengi wamekata tamaa. Mzunguko wa pesa umedumaa, masoko yamesimama.

Watumishi wa Umma hawana uhakika juu ya nyongeza ya mishahara, miaka mitano wamepigwa kimya.

Wakulima wanalima, wakivuna soko la ndani halina bei, wanaambulia kupata chakula cha kushibisha matumbo yao.

Wanasiasa hawana usemi,atakalo sema mkuu ndio hilo litekelezwe hata kama halina tija. Wakitoa ushauri mzuri wanatumbuliwa.
 
Kwa sasa habari ya mjini ni kumtaka atawale milele! Yaani ikitokea hivyo, nitakuwa Mtu wa kwanza kujitolea kwenda kuishi Sayari ya Mars iwapo Mabeberu watafanikiwa katika utafiti wao unao endelea.

Wakisema tu "wanaotaka tukijitolea" faster nanyoosha mkono! Ila siyo kuishi milele chini ya utawala wa huyu mzee. Mtu gani asiyejali maisha ya wengine.
 
Hata ishi milele Mungu nae ni wa wote mateso yakizidi neema inakaribia
 
Kwa sasa habari ya mjini ni kumtaka atawale milele! Yaani ikitokea hivyo, nitakuwa Mtu wa kwanza kujitolea kwenda kuishi Sayari ya Mars iwapo Mabeberu watafanikiwa katika utafiti wao unao endelea...
Hiyo 1b na point something utaipata wapi🙄
 
Tumeikabidhi nchi kwa Mfalme....Hasikii,haoni wala kujali vilio vya wanae,yupo busy anakoroga zege na kutandaza lami.Hatusemi kuwa hatuhitaji vyote hivyo Bali hatujaweka vipaumbele vya kununua saruji badala ya unga tukiwa na njaa.Maisha hayasimami na tunayaishi kila Siku.

CCM, turejesheeni Tanzania yetu mliyojimilikisha kupitia Katiba ambayo hamtaki tuiboreshe/tuibadilishe ili tujitawale tunavyoona inafaa baada ya makubaliano.
 
Endelea kusubiri mitano iishe kama maisha yanasimama. Kama ilichapwa kwa fimbo ajaye atakuchapa kwa nng'e. Screen shot save kwa matumizi ya baadae
 
Kwa sasa habari ya mjini ni kumtaka atawale milele! Yaani ikitokea hivyo, nitakuwa Mtu wa kwanza kujitolea kwenda kuishi Sayari ya Mars iwapo Mabeberu watafanikiwa katika utafiti wao unao endelea.

Wakisema tu "wanaotaka tukijitolea" faster nanyoosha mkono! Ila siyo kuishi milele chini ya utawala wa huyu mzee. Mtu gani asiyejali maisha ya wengine.

Twende taratibu. Hajajali maisha ya nani?
 
Kwa sasa habari ya mjini ni kumtaka atawale milele! Yaani ikitokea hivyo, nitakuwa Mtu wa kwanza kujitolea kwenda kuishi Sayari ya Mars iwapo Mabeberu watafanikiwa katika utafiti wao unao endelea.

Wakisema tu "wanaotaka tukijitolea" faster nanyoosha mkono! Ila siyo kuishi milele chini ya utawala wa huyu mzee. Mtu gani asiyejali maisha ya wengine.
Umenikumbusha enzi za kuduumu fikra
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom