Tetesi: Paul Makonda kuwa Makamu wa Rais 2020/2025

Status
Not open for further replies.

britanicca

JF-Expert Member
May 20, 2015
15,636
30,004
Hii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,

Kwamba mwaka 2020 Makonda anAkuwa rasmi Makamu w Rais, wakati Mama samia akipelekwa kugombea Urais Zanzibar,

Nikaendelea kujiuliza mbona makamu inabidi awe Mzanzibari? Sasa Makonda Nafasi hiyo anaingiaje?

Ngoja tusubiri muda utasema

Nami nimeambiwa nimeshindwa kuamini lakin nikaona bora nilete kwa wajuzi zaid hapa

Japo uhakika ni Samia kugombea zenji , ila ya makonda bado naitafakari
 
sasa kwani kuna tatizo gani ndugu Paulo makonda kuwa makamu wa rais au hata kuwa rais kama sifa zote anazo ikiwemo kushika wauza ngada,kuwatetea walimu,kukamata machangu na mapunga
 
Sasa Jiwe ndiyo anataka kuvunja Katiba waziwazi......

Hakuna uwezekano, kwa mujibu wa Katiba, kama Rais anataka Tanganyika na makamu pia atoke Tanganyika

Bali ni takwa la Katiba ya nchi kuwa kama Rais anatoka Tanganyika ni lazima Makamu wake awe mzanzibari
hivi hujui hakuna nchi inayoitwa tanganyika kwa sasa
 
Hii kwanza sijaiamini pamoja na kuambiwa na watu zaid ya watatu ambao ni reputable lakin nimeona kwamba nisibeze lisemwalo lipo,

Kwamba mwaka 2020 Makonda anAkuwa rasmi Makamu w Rais, wakati Mama samia akipelekwa kugombea Urais Zanzibar,

Nikaendelea kujiuliza mbona makamu inabidi awe Mzanzibari? Sasa Makonda Nafasi hiyo anaingiaje?

Ngoja tusubiri muda utasema

Nami nimeambiwa nimeshindwa kuamini lakin nikaona bora nilete kwa wajuzi zaid hapa

Daaah kwahiyo watabadilisha katiba kipengele cha umri ?
Halafu unamaanisha Raisi atatoka Zanzibari mwaka 2020 ?
Makamu wa Raisi atakuwa na miaka 38. Sikupingi kabisa, lolote linawezekana Tanzania.
 
Ukisikia kuvuta bangi ndio huku. ulivyoshindwa hata kujibu tu haiwezekani. Kwa maana JPM atagombea hakuna mgombea yeyote kutoka bara anaweza kuwa makamu.

Pili kama magufuli hagombei hakuna mwingne mwenye mahaba na Makonda hivyo hakuna. Usijitoe ufahamu.

Jibu ni Hakuna na wala hana sifa hizo.
 
Ni kawaida kwa kila mwanaJF kunyetishiwa,akilala akaota au akifikiri baada ya kushiba viazi vyake anakuja kuanzisha uzi kwa madai ya kunyetishiwa.

Unashindwa na mimi lofa mkulima na mfugaji huku vijijini ninayejua kwamba kikatiba rais akitoka upande mmoja wa muungano basi ni lazima makamu wake atoke upande mwingine?
 
Za kuambiwa changanya na za kwako

By JK mtoto wa msoga Chalinze
Ndugu yangu, mpaka leo hujajiunza kwamba lolote lawezekana Tanzania ?
Leo hii teja la unga linaweza kuwa Askofu Mkuu na bado watu wakaenda ibadani kama kawaida.
Kuna msemo moja wa busara unasema hivi "Never underestimate the power of stupid people in large groups" akimaanisha wajinga wakiamua kufanya kitu kwa pamoja hakuna kinachoweza kuwazuia hata siku moja.
 
Sijabisha mkuu, kwa tz hii, usishangae hata amber rutty akawa mkuu wa mkoa
 
Ndugu yangu, mpaka leo hujajiunza kwamba lolote lawezekana Tanzania ?
Leo hii teja la unga linaweza kuwa Askofu Mkuu na bado watu wakaenda ibadani kama kawaida.
Kuna msemo moja wa busara unasema hivi "Never underestimate the power of stupid people in large groups" akimaanisha wajinga wakiamua kufanya kitu kwa pamoja hakuna kinachoweza kuwazuia hata siku moja.
Tanzani kila kitu kinawezekana
 
Ukisikia kuvuta bangi ndio huku. ulivyoshindwa hata kujibu tu haiwezekani. Kwa maana JPM atagombea hakuna mgombea yeyote kutoka bara anaweza kuwa makamu.

Pili kama magufuli hagombei hakuna mwingne mwenye mahaba na Makonda hivyo hakuna. Usijitoe ufahamu.

Jibu ni Hakuna na wala hana sifa hizo.
Never underestimate the power of stupid people in large groups.
Hakuna kinachoshindikana hapa Tanzania, wakiamua kufanya watafanya kwasababu hakuna wa kuwazuia.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom