Kwa mujibu wa Katiba ya ACT Wazalendo, Zitto Kabwe na Maalim Seif siyo Wanachama tena

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Ndugu zangu,

Katiba ya ACT Wazalendo inapinga mwanachama kumuunga mkono mgombea asiye mwanachama wa ACT.

Fuatilia mwenyewe hapa chini, Bernard Membe akitumia vema turufu anaweza kuwavua uanachama hawa "wavamizi" ndani ya ACT.

IMG-20201020-WA0150.jpeg
 
Hahahahahahahaha

Kidumu chama cha Mapinduzi

Baada ya Rais Mteule Hussein Mwinyi kutangazwa watakuwa busy kumfukuza Uanachama Membe kama walivyokuwa busy 2015 baada ya matokeo kumfukuza Lipumba badala ya kupigania Urais wao kwa Dr Shein
 
Umeambiwa swala la ushirikiano lilijadiliwa katika vikao vya chama na si kuwa mwanachama mmoja kajiamulia mwenyewe kumuunga mgombea wa chama kingine. Kwa hiyo hili swala lilikuwa maalum na kifungu hicho hakija kiukwa
Mkuu, Hakuna namna ya kuwanasua!! Wamevunja katiba.
 
Back
Top Bottom