Bashiru Ally ndiye Rais wa Tanzania wa awamu ya sita

TensorFlow

JF-Expert Member
Feb 11, 2020
812
969
Kwa kutumia predictive analytics techniques kuchakata na kuunganisha data za kisayansi, kisiasa, maoni binafsi na sayansi ya jamii, jicho letu linatuambia kuwa Bashiru Ally ndiye Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Save the topic.
 
Itatusaidia nini kama sasa hawezi kulisaidia taifa ?!. Awe asiwe maadhal ni ccm hakuna maana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kutumia predictive analytics techniques kuchakata na kuunganisha data za kisayansi, kisiasa, maoni binafsi na sayansi ya jamii, jicho letu linatuambia kuwa Bashiru Ally ndiye Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Save the topic.
Tuapatie uraia wake kwanza kabla ya yote

In God we Trust
 
Uraia ni muhimu kuujua, pili kwenye kampeini zinamwagwa sana fweeza anaweza akaamua kuzitumia arakavyo ukakuta ana kashifa kibao
Baada ya uchaguzi atakuwa na influence sana. Bashiru anachuliwa kama mtu mwadilifu, na hiyo ndio karata muhimu baada ya Magufuli.

In God we Trust
 
Kwa kutumia predictive analytics techniques kuchakata na kuunganisha data za kisayansi, kisiasa, maoni binafsi na sayansi ya jamii, jicho letu linatuambia kuwa Bashiru Ally ndiye Rais wa awamu ya sita wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Save the topic.
Mwaka huu anagombea Ubunge? hatuna historia ya kuwa na Raisi ambaye hakuwahi kuhudumu kwenye Baraza la Mawaziri
 
Back
Top Bottom