Mali hizi Makonda anazitoa wapi? Anatembelea magari ya kifahari kuliko mshahara wake kwanini wakuu wa mikoa wengine hawana?

Return Of Undertaker

JF-Expert Member
Jun 12, 2012
4,572
26,868
magari ambayo Makonda anamiliki ambayo hayaendani na mshahara wake ukiondoa V8 ambayo Ni serikali, hizi zingine amezitoa wapi Bei ya hili gari Bei yake Ni shilling 14632940 millions ana Range Rover sport ambayo Bei yake Ni shilling million 234 na ushe ana BMW6 Bei yake Ni shilling million 178 ana vx v8 ambayo Bei Nimillion 186 pia anajenga hotel ya kifahari mwanza hizi pesa za kununua haya magari na kujenga hiyo hotel ametoa wapi na mshahara wake Ni 4 million kwa mwezi atafanya kazi muda gani ndio aweze kununua aina ya hizo gari na kujenga hiyo hotel Kama sio wizi hapa halafu wanakuja vijana kutetea wizi hamjuwi kuwa wizi na rushwa vinadumaza taifa na nchi kwa ujumla ikiwemo kukosa elimu Bora ikiwemo kukosa huduma za kiafya pamoja na huduma nzuri za kijamii Bora kwa Watanzania ndugu zangu Watanzania nawaombeni tupige vitendo vya rushwa kwa pamoja
Muhsini K Kwigwa
Sauti ya Watanzania wasiokuwa na sauti
FB_IMG_1557215111965.jpg
 
Sauti ya Watanzania wasiokuwa na sautiView attachment 1090361
Duuuh ni lake binafsi hili au la serikali? That is Infiniti qx80 ni new versions za Nissan wenyewe wanaita luxury brand! Serikali inanunua magari haya siku hizi? Hii gari Engine yake ni V8 5.6L maaanina wese lake sio mchezo... Kweli wacha tendelee kujenga nchi wengine naona wanapaka rangi!
 
ndugu mleta uzi mgoja nikupe majibu utakayopewa na uvccm
ACHA WIVU WA KIKE WEEWE KWANI HAWEZI KUWA KACHUKUA MKOPO?
UNATAKA KIONGOZI AENDESHE VITZ,MAKONDA CHAPA KAZI UMEWASHIKA PABAYA MNO WAPIGA DEAL

hayo ni baadhi ya majibu utakayopewa na mabumunda ya lumumba..On a serious note kwa serikali iliyo serious huu ni ujinga sana anaofanya huu jamaaa,nilionyeshwa ghorofa lake gorofa tano lipo mtaa wa Rwagasore mwanza kabla ya lile sakata la jina bandia kwenye kibao palikuwa pameandikwa client Daud albert
Kuna lile jengo la kifahari kajengea wazazi Igoma kapeleka hadi barabara ya tiles hadi home,mfilipino aliyekuwa anasimamia ujenzi walimuibia simu yake waliyoyakuta huko ni noma sana,jamaa furnitures za ndani tu ziligarimu 54 millions
anajenga hosteli za kisasa huko ibanda akitegea chuo cha bugando kinachohamishiwa huko
KWA KIFUPI JAMAA NI MILIONEA SASA HIVI ILA NDO UTAAMBIWA ANAPAMBANIA WANYONGE ETI NI MUADILIFU
 
Uvccm huwezi kuwaona kwenye Uzi huu maana hata wao hawampendi
 
Back
Top Bottom