Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa muonekano wa nje, ikulu ya Dar es Salaam ni nzuri kuliko ya Chamwino, japokuwa ilijengwa kipindi cha ukoloni na teknolojia ilikuwa ndogo. Je, Tanzania tunafeli wapi? Ebu angalia ikulu ya...
16 Reactions
344 Replies
56K Views
Nianze uzi huu kwa kumpongeza mzee wetu Ngosha,mtumishi namba moja wa nchi wa nchi ya Tanzania! Baada ya pongezi kwa Ngosha nichukue fursa hii kwa kumpa Heko kwani kadri anavyozidi kukaa Ikulu...
10 Reactions
23 Replies
6K Views
ASKOFU MWINGIRA: TUNDU LISU NI MSHINDI Na, Robert Heriel Moja ya sifa ya Mtumishi wa Mungu ni kumshuhudia Mungu kwa Matendo makuu aliyoyafanya. Tumezoea watumishi wa Mungu tuendapo kwenye nyumba...
50 Reactions
163 Replies
13K Views
Hatimaye wakuu wa EA wamepata chanjo ya kujikinga na gonjwa hatari la Corona, isipokuwa Rais wetu Mama Samia. My Take Uzi hauhitaji hoja yeyote,ni taarifa tu
9 Reactions
56 Replies
4K Views
Lissu alikuwa analalamika kuna gari la usalama wa taifa linamfuata. Hizi ni pesa za wananchi zilikuwa zinachomwa bila sababu ya msingi kwa kusaidia watu binafsi kisiasa. Huu ni zaidi ya ufisadi...
6 Reactions
14 Replies
3K Views
Nawasalimu, amani iwe juu yenu wanajukwaa! Naapa kwa aliyeumba, huyu ataenda kuwa Rais ambaye atavunja historia tangu nchi hii ipate uhuru watu wataishi katika Chuki na visasi vya hapa na pale...
11 Reactions
19 Replies
2K Views
FREEMAN A. MBOWE(Mwenyekiti wa Chadema Taifa) Ameeleza vizuri kuhusu teuzi za Mabalozi wa Tanzania kwenda Nchi za Nje.
23 Reactions
71 Replies
10K Views
Anayeshikamana na wewe wakati wa shida ndiye rafiki wa kweli. Kiukweli Jumuiya ya SADC imetushika mkono kiuhakika katika msiba huu mkubwa wa taifa. Tumeshuhudia Marais kutoka Msumbiji, Afrika...
12 Reactions
64 Replies
7K Views
Ni kupitia mtandao wa twitter ambapo ameandika maneno haya: Ujumbe kwa TISS: Kila mtu ana saikolojia yake. 1. Sio kila mtu anakuwa MOTIVATED na PESA 2. Sio kila mtu anaFLIGHT kuna wengine...
34 Reactions
59 Replies
10K Views
Mwenyekiti wa Taifa wa chama cha NCCR-Mageuzi ndugu James Francis Mbatia anasikitika kutangaza kifo cha makamu mwenyekiti mstaafu Tanzania Bara ndugu Rakia Abubakar Hassan kilichotokea siku ya...
9 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama wametembelea mpaka wa Tanzania na Msumbiji kwa lengo la kuhakikisha mpaka huo na wananchi wa maeneo hayo wako salama, hatua hiyo imekuja baada ya kusemekana...
13 Reactions
80 Replies
14K Views
Hakuna ubishi Rais Samia Suluhu Hassan angependa awe na timu yake itakayomwezesha kutawala bila hofu hadi muhula aliorithi uishe. Hivyo, wapi wengi watakaoangukiwa na shoka lake kwa mamlaka...
7 Reactions
83 Replies
7K Views
Ndugu zangu bado tupo katika majonzi makubwa kama taifa ya kumpoteza kiongozi mkuu. Yote juu ya yote Mungu atatusimamia nalo litapita. Nachotaka kusema hapa ni huu utaratibu wa katiba kumtambua...
3 Reactions
16 Replies
998 Views
Habari Tanzania! Naomba kushiriki nanyi mawazo mapana na mtazamo usio kikomo. Katika uongozi wa awamu ya tano (5) nimegundua mambo makuu yafuatayo; 1. Nchi hii wapinzani waliopo wote kwa vyama...
4 Reactions
43 Replies
2K Views
Wakuu. Ningependa kujua kwa yoyote yule mwenye uelewa mpana wa ukoloni mambo leo unavofanya kazi. Atuambie ni lini alikuja kugundua kwamba vita hiyo ni kubwa sana na waafrika kwa ujumla tunazidi...
1 Reactions
65 Replies
4K Views
Ni maajabu makubwa kwamba balozi wa Tanzania huko nchini Namibia aliibuka na kuongea na vyombo vya habari kuwa aliyekuwa rais wa nchi yetu ni mzima wa afya na yupo salama kabisa. Pamoja na kuwa...
11 Reactions
67 Replies
8K Views
Salamu wakuu Kuanzia tarehe 17/3/2021 mpaka leo ni siku kumi. Kwakuwa katiba inatamka ndani ya siku 14 makamu awe amepatikana, basi sasa Rais na chama wamebakiwa na siku 4 kutuletea makamu...
18 Reactions
228 Replies
22K Views
Sababu... 1: Kuhofu uwezo wa mwanamke ni kuvunja katiba. Maana katiba inamtambua na nchi haingozwi kwa tahadhari za kitamaduni bali kikatiba. 2: Tunaowanawake waliowahi kushika vyeo zaidi ya...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imetangaza kuwa uchaguzi wa ubunge wa Muhambwe utafanyika Mei 2, 2021. Jimbo hilo lililopo Wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma lipo wazi kuanzia Februari 12, 2021...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…