Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mali zilizomo ndani ya makontena 20, ambayo ni mali ya mtu anayeitwa Paul Makonda zina thamani ya Sh1.4 bilioni. Hayo yamo katika barua ili-yosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikieleza kuwepo kwa...
1 Reactions
81 Replies
14K Views
RAIS wa Tanzania, Dk. John Magufuli anasifika kwa kuchukua maamuzi magumu, kukemea, kufuatilia na kuwaondoa viongozi akiutendaji au namna yoyote ile katika serikali tangu alipoingia madarakani...
1 Reactions
34 Replies
3K Views
Nimemsikiliza Naibu Waziri wa Fedha Bungeni mwana mama kwa kweli nimeshtuka sana, kwanza hakuweza kuongea kama mtaalamu wa fedha hotuba yote anasoma mbaya zaidi anasoma kama mtoto aliye darasani...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
Wakuu salaam, Mimi nimeingiwa na wasiwasi. Kwanini watu wakisema rais avunje baraza la Mawaziri ili aweze kuteua Mawaziri wapya na kuwaapisha, Mwigulu anatokwa povu sana? Katiba inamtaka Rais...
14 Reactions
47 Replies
4K Views
Mambo yameanza kunoga. Deusdedith Kakoko wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ametiwa nguvuni na yuko chini ya TAKUKURU kwa mahojiano na uchunguzi. Sote tunajua kuwa Mwendazake alikuwa akimwamini...
36 Reactions
45 Replies
4K Views
Ni mda mrefu sijamsikia Waziri wa Fedha na Mipango akiongea. Tokea alivyojikoroga kuelezea ni nani atalipa kodi ya mihamala ya simu na benki hajawai kutoka na kuongea tena. Bandari imekauka hila...
3 Reactions
40 Replies
7K Views
Ndugu zangu, Nimeona niliweke hili suala kwa uwazi. Nyakati fulani fulani zinadhihirisha jinsi ambavyo wanachama na viongozi wa vyama vya upinzani ni wafuasi na matawi ya CCM. Nyakati hizi ni...
2 Reactions
26 Replies
2K Views
Nchi kubwa ya Tanzania si nyepesi; serikalini si kwepesi, chamani si kwepesi, na uraiani si kwepesi Kwa hiyo Mh. SSH anatakiwa kuwa na wasaidizi very bold 'strong' Wanaoijua siasa Wanaokijua...
1 Reactions
54 Replies
4K Views
Halina ubishi hata kiduchu kwa miaka yote tangu mwaka 1995 hayati JPM amekuwa mstari wa mbele kuhakikisha barabara za Tanzania zinaunganika. Na kweli sasa hivi nchi imepiga hatua kwa kuwa na...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
Nawasalimu ninyi nyote Wana JF. Mama, haiba yako imejaa uungwana na kuonyesha kuwa una hofu ya Mungu ndani yako, unajiheshimu na KWA kweli unastahili kuheshimiwa. Mama WEWE ni Muislam KWA dini...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mungu huwa hapendi dhuluma, dhuluma ni uovu na uovu hupatilizwa na Mwenyezi Mungu, hata kizazi cha tatu na cha nne. Kuruhusu chama kimoja kufanya mikutano na kuzuia vingine visifanye mikutano...
48 Reactions
129 Replies
7K Views
Jana bungeni Waziri Mwigulu alichukua nafasi ya Waziri Mpango. Akihitimisha hoja ya Mpango wa Serikali kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Dk Philip Mpango, Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Mwigulu...
6 Reactions
70 Replies
13K Views
Salaam Wakuu, Kuna habari mbaya ya watu wengi kufariki wakati wakiaga mwili wa hayati Magufuli. Inadaiwa baadhi ya watu wamepelekwa Hospitali ya Temeke wengine wakiwa wamepoteza maisha na...
30 Reactions
532 Replies
52K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 31 Agosti, 2016 amemteua Bw. Doto M. James kuwa Katibu Mkuu wa wizara ya Fedha na Mipango. Kabla ya uteuzi huo Bw. Doto...
5 Reactions
349 Replies
113K Views
Doto James, Bwana Malipo Mkuu wa serikali Ni kaa la moto! Hakuna mtu anaetaka kuligusa. Wazungu wanaita "third rail," kwa sababu reli ina mitarimba mitatu: miwili inatambaa sambamba...
15 Reactions
21 Replies
7K Views
Waziri wa fedha na mipango Dkt. Philp Mpango amesema anarudi kuchapa kazi baada ya mkono wa Mungu kumvusha na ugonjwa uliomkumba mpaka akalazwa. Waziri Mpango amesema haya (Nukuu) - Narudi kazini...
14 Reactions
336 Replies
34K Views
Siku chache baada ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira, kuwasimamisha kazi, vigogo watatu wa Baraza la Uhifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC), Kigogo aliyekuwa akisimamia...
0 Reactions
38 Replies
12K Views
Musa aligawa maji bahari ya Shamu taifa la Mungu likavuka. Ila Joshua yeye alikausha kabisa maji ya mto Jordan taifa la Mungu likavuka. Joshua 3: 7. "Bwana akamwambia Yoshua, Hivi leo nitaanza...
8 Reactions
36 Replies
5K Views
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, litafanya mkutano wa Bajeti kuanzia Machi 30 hadi Juni 30. Katika Siku ya Kwanza ya Mkutano, Bunge litatambua Mchango wa Rais wa Tano wa Tanzania, Dkt...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Back
Top Bottom