Hashimu lwenje
JF-Expert Member
- Oct 2, 2017
- 415
- 359
Poleni na majukumu yote hapo wizarani.
Sina mengi sana ya kuandika ila ninao ushauri tu.
Nao ni,
Ninawashauri msitishe kuandaa rasilimali watu ya mafuta na gesi kwa sababu tayari wasomi wa kozi za mafuta na gesi wameshakuwa wengi ukilinganisha na ajira zilizopo na zitakazo kuwepo.
Idadi imekuwa ni kubwa mnoo na ukiangalia wasomi wa kozi hizi hawawezi kutumia maarifa hayo mahali pengine popote zaidi ya upande wao wa mafuta na gesi.
Hivyo hapo solution ni kuzifuta tu. Kwasababu ninyi ndio mlio idhinisha kozi zianzishwe basi idhinisheni zifutwe.