Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi aanza kutema cheche, amtumbua Mkurugenzi wa Bandari

mama D

JF-Expert Member
Nov 22, 2010
19,763
35,205
Hapa kazi tu Zanzibar

20201104_201010.jpg
 
Nimecheka kwa nguvu hilo igizo. Inaonekana kabla ya kupewa hiyo nafasi na vyombo vya dola, kwenye ule utapeli uitwao uchaguzi wa juzi, alikula rehesal ya zile episode za magu wakati anaingia madarakani kwa mara ya kwanza! What about joke.
Dr Mwinyi alisema akiwa mkubwa anataka kuwa kama Dr Magufuli🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Na sasa ameshakua mkubwa😍🇹🇿👏
 
Back
Top Bottom