Uchaguzi 2020 Mgombea Mwenza wa Lissu ni mzaha wa CHADEMA kwa Watanzania!

Watu wa mizaha na nchi yetu wanazidi kuongezeka mitandaoni, kwa kitu Gani, au kuna nini kipya ataleta Mwalimu au kuingiza ujinga katika kuongoza serikali.

Muwe mnatoa michango ya personalities ili muheshimike. Form iv , certificate in journalism ya Ilala shamba , kutangaza TV ya CCM ndio sifa ya kuwa Rais, hii mizaha ya kupitiliza.

Bora Mbowe shule hana lakini unauelewa wa kutosha na ame mature. MNATUTANIA NCHI HII NI YA SISI SOTE.
 
Mkuu huyo ni mashine nyingine ,huyo ni kama wakina kiduku wa korea kaskazin huyo muache alivyo na uzuri nimesoma na wazanzibar nawamisi sana na ni watu wajitambua sana na nishupavu, niseme Tanzania tuna viongozi wengi tu na mwalim na mgombea mwenaza yuko safi hongera chadema maana tumezoea kwamba umri ndo uongonzi but uongozi huzaliwa katika dam thats hata Mwl nyerere hakua na elim kubwa kulioko wakolon but waliisoma namber, Mwalim ni kiongonzi hata speach yake imeshiba so kwa combination na lissu iko sawa , utamuelewa tu ngoja kampe ziaanze lasmi , nimemkubali sana na kama humkubali basi una ajenda za siri toka moyoni mwako
 
Back
Top Bottom