Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Brigedia Jenerali John Mbungo amethibitisha taasisi hiyo kumshikilia kwa mahojiano Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) Deusdedit Kakoko...
8 Reactions
69 Replies
11K Views
Rais wangu, nchi inaongozwa kwa kushirikiana. Mtangulizi wako aliviua vyombo vya habari, japo yeye aliona anafanya kazi kiwepesi lakini haikuhitaji jicho au elimu kubwa kujua kuwa zahazi lilikuwa...
1 Reactions
2 Replies
700 Views
WAPINZANI TAMBUENI KUWA TUNAYAHITAJI MAENDELEO ZAIDI KULIKO SIASA Kwa mjibu wa kamusi ya Oxford, "Siasa ni shughuli zenye lengo la kustawisha ama kuongeza hadhi ya mtu fulani au kuongeza mamlaka...
4 Reactions
29 Replies
2K Views
Mh Rais tuna matarajio makubwa kutoka kwako,tuna imani hutataka watu wanyanyaswe au kunyimwa haki ya kuishi bila kufuata sheria za vyombo vya dola Tunaomba uunde tume ndogo ya kiuchunguzi...
1 Reactions
4 Replies
901 Views
Asalaam Aleykum ndugu zangu...! Natumaini ni siku nyingine tena tumeamka tukiwa na afya tele Asante nyingi kwake Mola muumba wa mbingu na ardhi. Siku ya leo nina ushauri mfupi kwa Rais Mama...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nyie "Tibisii" nisikilizeni niwasaidie. Acheni kumuelekeza Mama Samia njia ya kupita. Hoja zenu kila siku ni "mama Samia avae viatu vya Magufuli, mama Samia apite njia ya Magufuli, mama Samia...
59 Reactions
161 Replies
11K Views
Ndani ya muungano wa EAC nchi ya Kenya imekuwa mstari wa mbele katika kuleta chokochoko za hapa na pale, hasa ikiichokonoa Tanzania mara kwa mara. Ingawa hivyo, Rais wa Kenya Hon Uhuru Kenyatta...
24 Reactions
289 Replies
31K Views
Wakuu habari zenu, R.I.P jemedali na mbabe wa vita JPM. Kumekuwa na habari zikizunguka mtandaoni siku nyingi kabla hata ya Rais kutangazwa kifo, kwamba huko benki Kuu yetu ya Taifa kuna watu...
10 Reactions
69 Replies
10K Views
Nimemsikia Mh Rais leo alipokua anapokea ripoti ya CAG na TAKUKURU huko chamwino Dodoma akisema amemrudisha nyumbani balozi wa Tanzania nchini Ethiopia kupisha uchunguzi wa upotevu mkubwa wa fedha...
2 Reactions
47 Replies
13K Views
Moja ya karata mbovu kuwahi kuchangishwa katika Siasa za Upinzani Nchini Tanzania ni kitendo cha Baadhi ya Vyama hivyo kusherehekea na kukebehi Kifo cha aliyekuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa...
45 Reactions
239 Replies
20K Views
Baada ya muda mfupi tutaanza kuwaona wale wote waliomba ''ukimbizi wa kisiasa'' nje ya nchi hasa Ulaya na Marekani kuanza kurudishwa kwa nguvu nchini. Ukimbizi wa kisiasa una misingi yake na kwa...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kitendo cha Profesa Kabudi kurudi katika wizara ya katiba na sheria, na ukizingatia Rais wa Jamuhuri ya Muungano ni Mzanzibari na marais wote yaani wa Jamuhuri na Zanzibar wote ni wa kisasa...
0 Reactions
4 Replies
762 Views
Waziri wa fedha aliyeweka rekodi ya kukaa kwenye uwaziri kwa kipindi chote cha miaka mitano ya rais Magufuli, wakati akihitimisha kusoma bajeti kuu ya serikali ametangaza kugombea ubunge kwenye...
14 Reactions
89 Replies
14K Views
Ni kawaida kila Rais mpya anapoingia madarakani kuja na kauli mbiu au falsafa yake. Kauli mbiu hizi au falsafa ndio huonyesha dira au mwelekeo wa serikali inayokuwepo madarakani katika kuleta...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Nashindwa kuelewa huu uungaji mkono kutoka Kwa wapinzani kuunga juhudi za Chama tawala katika kulisuka Taifa letu na kuelekea Taifa lenye usawa na maendeleo ya kweli. Nashindwa kuelewa kama kweli...
8 Reactions
114 Replies
7K Views
Alianza na kauli, kwa kusema chama chenye dola kushindwa kutetea dola yake ni uzembe!. Alishangaa iweje uwe na dola kisha upoteze dola. Naam!. Kwenye uchaguzi huu tumeona alichomaanisha!. Bila...
26 Reactions
104 Replies
8K Views
Bashiru Ally aliteuliwa kuwa Katibu Mkuu kiongozi tarehe 27 February mwaka huu, leo ni siku ya 32 tangu aapishwe kuwa KMK na Hayati Dr. JPM (R.I.P). Ametumikia nafasi hiyo kwa mwezi mmoja tu...
7 Reactions
12 Replies
2K Views
Katika historia ya nchi hii haijawahi kutokea Waziri Mkuu aliyeporwa mamlaka yake kama Majaliwa Kiukweli inasikitisha na pengine inaashiria kuwa na bosi asiyeamini uongozi wa pamoja Mara nyingi...
27 Reactions
144 Replies
15K Views
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Prof. Palamagamba John Kabudi (Mb) jana aliwasili nchini Ufaransa na kupokelewa na mwenyeji wake Waziri wa Ulaya na Mambo ya Nje wa...
8 Reactions
162 Replies
17K Views
Waziri wa mambo ya nje Prof Kabudi ameiomba UNESCO kukitambua rasmi Kiswahili kama lugha ya mawasiliano duniani na kwamba itangaze tarehe 07 Julai ya kila mwaka kuwa ni Siku ya Kiswahili Duniani...
2 Reactions
59 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…