Miaka ya hivi karibuni tumeona makampuni binafsi kama starlink, na amazon wakituma satellite nyingi sana kwenye low orbit
Kabla sijaendelea kuna aina mbili za satellite kama zifuatazo...
Katika mambo mengine ambayo Nyerere alikosea ni kuweka makao makuu ya nchi Dar es Salaam kwa Waswahili baada ya uhuru.
Mambo yote yasiyo na tija yanafanyikia Dar es Salaam, wakazi wa Dar es...
Tumeshaandika mmeshupaza shingo, mmejaa kiburi na dharau, wahadhiri na wafanyakazi hawana mishahara rangia mwezi wa 7 na hakuna dalili ya kulipwa, tunaambiwa VC ametumia pesa kwa mambo.mengine na...
Katika kuongeza mapato nchini na ukizingatia SGR inajaza siku 5 kabla ya safari. Inafaa sasa SGR kwa kushirikiana na TRA waaanzishe Kodi kwa abiria na Wasindikizaji wote angalau 20,000/= kila trip.
Wakili, mwanasheria wa kujitegemea na mchambuzi wa masuala ya kisiasa, Leonard Manyama, amesema kuwa mamlaka makubwa aliyonayo Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yamechangia kuleta maendeleo...
Kutoka kwenye ukurasa wa Twaha Mwaipaya ametoa madai ya kuwa kuna Mauaji ya mlinzi wa Mgahawa wa Shishi Food yamefanyika Jana usiku ila Mauaji hayo yanafanywa Siri hawataki watu wajue, msifiche...
Jana Kabudi alisema siyo vizuri kuwaita viongozi waliochaguliwa kuwa ni HARAMU bora wawaite sio viongozi HALALI.
JOHN HECHE;
Halali: Jambo au kitu kinachoruhusiwa na sheria, kanuni, au dini...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameumizwa sana kufuatia vifo vya watu 32 vilivyotokea mkoani...
Kwanini Matokeo ya Urais wa Tanzania hayawekwi mtandaoni? Ni kwa sababu ya wizi. Hata samia hajui kura zake. Isipokuwa asilimia tu.
Brazil imefanya uchaguzi jana. Baada ya Vituo kufungwa muda...
Wanabodi,
Makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo,
Utangulizi:
Bandiko hili ni bandiko la manifestation ya Katiba mpya, japo hata mchakato wa Katiba mpya bado haujaanza, bandito linatoa...
Wakili William Maduhu kutoka Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) amesema kuwa Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania bado inaakisi maono ya mfumo wa chama kimoja cha siasa...
Ilianza siku 100
Ikafuata Tume ya Chande
Zikapita purukushani za PM mikoani
Hali ikawa tafrani waraka ukaja kutoka kila kona
Waraka unaisha tarehe August 10 sisi tumekuja na tume
Tume imepewa...
Kusimulia tabia za wanyama
Eneo la kihistoria kwa undani hawa watu wameshindikana kwa kuwa mm ni dume la mbegu basi sauti ya Mwavundi huwa inanipa utulivu wa ajabu .
Kama ww ni mtazamaji wa...
Ukimtoa Rais Emmerson Mnangagwa ambaye ni Rais mwenyeji na rafiki wa Chivayo, hakuna rais yeyote wa kigeni aliyehudhuria mazishi hayo.
Makamu wa rais wa Zimbabwe Chiwenga yeye binafsi hakufika...
Kwanini uachie madaraka 2030 wakati uwezo wa kutawala kama KAGAME au M7 unao? Kwanini uachie ngazi kujiweka roho juu huelewi atakaekuja atakukabili vipi kwa yaliyotokea?
Kila kitu unacho, na...