Picha ya pambano la kijiografia kati ya Marekani na Uchina
Wakuu, salamu!
Leo nimeamua kuhama kidogo kwenye yale mazoea yetu ya kila siku ya kufanya tathmini za siasa za ndani za vyama na...
.....,.vinatarajiwa kuwa na mawingu kiasi, mvua katika maeneo machache na vipindi vya jua.
General disposition, hata isipotokea wanakwepa lawama.
Rubbish!
Msajili wa Vyama vya Siasa nchini, Jaji Francis Mutungi amesema vyama 18 vya Siasa vimeshiriki katika Mkutano wa Vyama vya Siasa, akibainisha kuwa kuna chama kimoja ambacho hakijashiriki kwa...
Nimependa andiko la Martin Maranja Masese:
Dear, RANGO.
Hadi umemaliza muda wako wote wa kuongoza The Inter-Parliamentary Union (IPU) umeshindwa kabisa kuthubutu kukemea mauaji ya raia...
Manyama: Odemba napenda niseme. Unajua katiba ya Chama Cha Mapinduzi, mimi ni mwanasheria, nasoma katiba za vyama mbalimbali na katiba ya nchi.
Msemaji wa CCM, ambaye anaweza akatoa tamko...
Nilipoona tu unalia kwenye vyombo vya habari kuwa ulitongozwa na ukashitaki polisi hapo ndipo nilijua hufai kuwa mwanaume na kiongozi.
Prof Kabudi amekuumbua, kuwa vyombo vya dola sio mali ya CCM...
Aliyekuwa mwanachama wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Godfrey F. Malisa, ameiomba Jumuiya ya Ulaya (EU) kuiwekea shinikizo Serikali ya Tanzania kukubali kuundwa kwa Kamati huru ya Taifa ya...
Nkuba: Mheshimiwa Odemba, kuna tatizo la kutaka kuondoa political right kuliko political right. Hapa tunaweza kuzungumza swala la sheria. Na msingi wa sheria zetu ni katiba ya Tanzania. Of course...
Ndugu zangu Watanzania,
Nilishasema sana Humu Jukwaani Popote Pale utakapoona Ushindi wa Jambo lolote lile katika Taifa letu nje ya Tanzania na kimataifa ama ndani ya Nchi yetu basi tambua ya...
Baba wa marehemu Shukran Amos Said, mwanamke anayedaiwa kuuawa na mwanaume aliyefahamika kwa jina la Khatibu Mfaume katika eneo la Maili Mbili, jijini Dodoma, amekataa kuruhusu mwili wa binti yake...
OKOA CONGO: Kabila Amkataa Tshisekedi Kuhudumu kwa Muhula wa Tatu na Kuwataka Wananchi Wachukue Hatua Kuokoa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC): Hoja kuu 10...
Uzuri wa nchi haupimwi kwa mataji inayoshinda, vivutio vya utalii inavyovimiliki, wala sifa inazopata kimataifa pekee. Nchi hupimwa pia kwa namna inavyowalinda wananchi wake, inavyosimamia...
Wakili Leonard Manyama amesema Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ni msingi muhimu wa amani na utulivu wa taifa. Ameyasema hayo Oktoba 10, 2026, katika mdahalo wa Wanasheria kuhusu utawala...
Tarehe 5 kuamkia 6.10.2025 Polepole alitoweka nyumbani kwake pale Union jioni dsm ikidaiwa alichukuliwa na watu wasiyo julikana.
Watanzania bado hatujui hiyo ndugu yetu yupo wapi na kwenye hali...
Wakenya wamechukizwa wakisema alikuwa anaangalia video za ngono na kuwa na hamu ya mdushelele
Wamemtaka kuolewa sasa maana yeye ni kiongozi na analipwa pesa kutumika sio kuwaza ngono muda wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.