Ndugu zangu Watanzania,
Ni Kazi Ngumu Sana kupata Viongozi Aina ya Rais Samia kwa kila uchaguzi. Ni kazi sana tena sana kupata viongozi wenye misimamo,maono ,ndoto maarifa uzalendo utulivu...
Kuna mwelekeo duniani kote nchi mbalimbali kuondoa adhabu ya kifo.kwenye mashauri mbalimvali. sina takwimu sahihi kwa sasa nchi ambazo bado zina adhabu hii ambayo kimsingi inapingana na misingi ya...
Hakuna haja yoyote Lissu kuendelea kukaa nyuma ya Nondo hata kama anataka kujitoa kafara kwa ajili ya wengine kama ndio anafikiri hivyo binafsi naiita kafara ya kipuuzi tu.
Huwezi kujitosa...
Baba wa marehemu Shukran Amos Said, mwanamke anayedaiwa kuuawa na mwanaume aliyefahamika kwa jina la Khatibu Mfaume katika eneo la Maili Mbili, jijini Dodoma, amekataa kuruhusu mwili wa binti yake...
Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Stephen Wasira amesema; "Mahakama inaendelea vizuri. Tena yeye Tundu Lissu, rafiki yangu, anaitumia mahakama kama shule ya sheria; yeye anajitetea mwenyewe...
Hili jambo linatafakarisha sana, kwa kawaida CCM wana kila kitu kwa namna ambayo kitu chochote toka kwa yeyote ila kutimiza wanachokitaka.
Inavyoonekana sio shida wala haja ya ccm kama chama...
Of the people: The government's power comes directly from the citizens; it does not belong to a king, a dictator, or a ruling class.
By the people: The citizens participate directly in governing...
Wednesday April 22, 2009
Robbers grab 4bn/- gold in Tabora
PIUS RUGONZIBWA, 22nd April 2009 @ 00:00,
At least 3,500 ounces of gold worth $3m (about 4bn/-) was stolen in what is...
Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM) mkoa wa Kagera, Faris Buruhani, amesema chama hicho kitaendelea kubaki madarakani na hakitotoka kamwe.
Akizungumza Februari 14, 2026 wakati akihojiwa...
Nikikumbuka Ridhiwani kipindi akiwa mtoto wa rais alikua na tuhuma nyingi sana kiasi kwamba nyingine kwa akili ya kawaida unaona ni Uongo kama ya madawa la kulevya china huu ulikua ni Uongo mtoto...
Muhtasari wa makala: Mtandao, Marais, Nchi na Majukumu Yao
Kwa mujibu wa makala hiyo, mtandao unaodaiwa ulihusisha nchi nane za Afrika, kila moja ikiwa na jukumu tofauti katika shughuli zake.
1...
Watanganyika kama tutaendelea kukubali kutumiwa kila uchaguzi kwenye ujinga wa MaCCM basi yataendelea kubaki madarakani kwa mda mrefu. Tuyakatae maCCM na mambo yake yote na Hongo zake zote shetani...
Mwenyekiti wa UVCCM Faris Buruhani aliyesema wakiwapoteza watu polisi wasiingilie kuwania ubunge Bukoba Vijijini.
Kama ni 'mtu asiyejulikana' akiwa UVCCM unafikiri hali itakuwaje atakapokuwa...
Nimekuwa nikifuatilia kwa ukaribu sana maisha ya watu waliokemewa na Humphrey Polepole kujua yanaendeleaje kwa kweli licha ya watu hao kuwa na hela nyingi sana lakini nimegundua maisha yao ni...
Nyie akina Kabudi, na kampuni yako. Kama siyo nyinyi, basi wanaonufaika na uhujumu wenu huu kuna siku mtajibu kwa watanganyika.
Mnabariki kuuza kila kitu as long as mnanufaika!
Time will tell!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.