Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni watangazaji wa kipindi cha good morning wwameongea kwa hisia sana na kushangazwa kwamba licha ya kutokea tatizo kubwa ambapo watanzania wenzetu 32 wamefariki kwa ajali mbaya Moro alafu hakuna...
10 Reactions
38 Replies
456 Views
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa imemteua Dkt. Netthо Ndijina Ndilito kuwa mgombea wa ubunge wa Jimbo la Chamwino mkoani Dodoma, huku ikimteua Faris Buruhani kuwa...
0 Reactions
4 Replies
131 Views
Kwa masikitiko na wasiwasi mkubwa, tumepokea taarifa kuwa Mr. Jose Mbeya, ambaye ni mwanachama wa CHADEMA, amechukuliwa leo alfajiri na watu waliojitambulisha kuwa ni maafisa wa Polisi. Kwa...
3 Reactions
27 Replies
463 Views
Akiongea na Wakili TV Revocatus Kuuli wakili wa mahakama ya ICC amesema "Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) inaweza kumshtaki hata Rais akiwa madarakani" Afafanua hali hiyo, je wafungwa...
8 Reactions
51 Replies
2K Views
Civilian-Coin is a Tanzanian musical artist and legal philosopher who has popularized unique, grassroots perspectives on the intersection of formal legal frameworks, constitutions, and everyday...
0 Reactions
0 Replies
16 Views
1 Reactions
4 Replies
183 Views
Miradi ya ujenzi wa masoko yenye thamani ya Shilingi bilioni 41.56 katika Halmashauri za Temeke na Jiji la Dodoma haileti tija iliyokusudiwa, huku mengine yakikamilika tangu mwaka 2019 bila kuanza...
0 Reactions
0 Replies
44 Views
John Heche ajitokeze hadharani kuthibitisha au kukanusha kama amewahi date na huyu Binti wa msimamo mkali wa dini.
20 Reactions
115 Replies
2K Views
Wanabodi, Hii ni makala yangu kwenye gazeti la Mwananchi la leo, ambayo ni makala ya Tribute to Sir Wicknell Chivayo: Kuzikwa Kesho Kwao Zimbabwe. Japo Sio Mtanzania, Watanzania, Afrika Mashariki...
10 Reactions
44 Replies
669 Views
Nauliza tu au mifumo yetu ya Kijamaa ni tofauti kabisa na mifumo ya kibepari? Naona Trump jasho linamtoka japo anaelekea kutoboa Nimekaa pale 🐼✔️
3 Reactions
37 Replies
948 Views
Hii inaonyesha namna chama hicho kinavyojinasibisha na utekaji na mauaji Swali ni hili, Je Wananchi wataendelea kuwanyamazia watekaji hawa wanaopandishwa vyeo kutokana na kazi hiyo ya Shetani...
9 Reactions
64 Replies
1K Views
Huko kwa Miss Grand, walijianika sana, uchi uchi. Basata mko kimya, au mwisho bongo land tu?
12 Reactions
44 Replies
1K Views
October 29 inakaribia. Naomba sana wapigania haki wenzangu tutoke kwa wingi. Tuishinde hofu tukomboe nchi yetu-
5 Reactions
20 Replies
276 Views
Wakuu Mbunge wa Jimbo la Ushetu (CCM), Emmanuel Peter Cherehani, akiwa katika ziara yake Kata ya Chambo Oktoba 7, 2026, aliulizwa na mwananchi kuhusu lini mchakato wa kupata Katiba Mpya yenye...
4 Reactions
45 Replies
582 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ameumizwa sana kufuatia vifo vya watu 32 vilivyotokea mkoani...
3 Reactions
58 Replies
630 Views
Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha reli, shujaa wa Afrika,jasiri muongoza njia...
2 Reactions
29 Replies
309 Views
Taarifa za hivi punde ni kuwa mwenyekiti WA umoja WA vijana ccm mkoa Kagera ameteuliwa kuwa katibu mkuu wa uvccm Taifa. Hongera kwake.
0 Reactions
15 Replies
304 Views
KUMPONGEZA MTU BILA KUMFAHAMU NI KUKOSA TAHADHARI! Tabia ya baadhi ya wanachama wa CCM ya kukimbilia kumpongeza kila mtu anayeuliwa kushika nafasi fulani, bila kwanza kumfahamu, historia yake...
1 Reactions
19 Replies
210 Views
Back
Top Bottom