Tafadhali, naomba msikate clip za mahojiano nusunusu kwa lengo la kupotosha maana na kuzua taharuki, ilhali nia ilikuwa ni njema kuomba Arena kwa faida ya tasnia nzima...kwanza kabisa 'sinaga' itikadi za kutafuta sifa za kijinga kupondaponda serikali, hivyo mimi siyo mwanaharakati…
Na ndiyo maana hata kwenye mahojiano yangu nimezungumza na kupongeza Wizara na serikali yangu jinsi inajitahidi kusaidia tasnia ya muziki kwenye nyanja mbalimbali lakini pia hadi kwenye kusaidia wasanii mmoja mmoja…. lakini nikasema kwenye Arena bado hatujapata ila wenzetu wa mpira wanapata sehemu nyingi…
Yawezekana ikawa nimewasilisha kwa hisia kwasababu muziki ni tasnia yetu, lakini point ya msingi ilikuwa ni kuendelea kuiomba serikali yetu watuwekee vijana wao Arena nasi tujimwaemwae!", chapisho la msanii wa muziki wa kizazi kipya Diamond Platnumz (Naseeb Abdul) kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram ikiwa ni saa chache baada ya kufanya mahojiano na Wasafi FM
Pia soma: PostGE2025 - Diamond Platnumz: Wanaweka nguvu kwenye mpira. Wasanii wanatudharau, wanatuthamini kipindi cha kampeni tu