Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Tuelewane vizuri hapa, tusilazimishane. Sisi tulioguswa na JPM tutamchagua tena Oktoba 28. Tutamchagua JPM tena kwakuwa SABABU tunazo, NIA tunayo na UWEZO tunao; #SisiTumeamuaKumchaguaTenaJPM...
5 Reactions
50 Replies
4K Views
Rais, Dk John Magufuli amemuagiza Waziri wa Nishati, Medard Kalemani kuhakikisha ifikapo mwezi wa saba mwaka huu, kiwanda cha ‘Kom Group of Companies’ kitakapoanza kufanya kazi umeme haukatiki...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
=== TAARIFA MUHIMU === Inatoka Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais Ikulu CHAMWINO jijini Dodoma Inahusu Kiapo cha Katibu Mkuu Kiongozi, Mawaziri na Manaibu Mawaziri walioteuliwa na Rais Samia jana...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Gazeti la Mwananchi Digital Siku 34 za Dk Bashiru Ikulu, wanasema Balozi Dkt. Bashiru ameondolewa 31 Aprili 2021, jamani editors wa bongo mbona matango mwitu mengi hivi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wacha ni switch kwenye lugha aliyopendelea kuitumia Hayati John Joseph. Kama mjuavyo Magufuli alikwa amekwisha teua wabunge wake ambao aliona wanamfaa. Sasa nauliza je Samia naye anayo nafasi...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Haki, heshima, na utu wa mwanadamu umo katika dhana ya utaratibu, kanuni au utawala wa sheria. Dhana ya utawala wa sheria ni dhana ambayo siyo tu kwamba umebeba ustaraabu na utu wa mwanadamu bali...
1 Reactions
3 Replies
711 Views
Leo Jumanne, tarehe 30 Machi, 2021, Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro, Godwin Kunambi ametoa mapendekezo ya kujenga monument ya kuenzi kazi iliyofanywa na rais Magufuli. Akichangia hoja...
2 Reactions
109 Replies
10K Views
Hakuna kiongozi wa kisiasa anayemfikia uyu mama Samia suluhu kwa kiingereza. Nimemsikiliza Leo anaongea kiingereza vizuri sana(grammar nzuri). Kwa sasa hakuna kiongozi wa kisiasa anamfikia huyu...
13 Reactions
124 Replies
17K Views
Tanzania kwa sasa ina serikali mpya ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu baada ya kifo cha Rais Magufuli. Kwa sasa hatuna sababu nyingine yoyote ya kusubiri kuufahamu utawala wa Samia...
14 Reactions
70 Replies
5K Views
Kama kuna kipindi ambacho Katiba yetu imelivusha taifa letu basi ni kipindi hiki cha kuwapata viongozi wetu wakuu wa awamu ya sita. Katiba yetu hii imepata heshima kubwa duniani kote na kuifanya...
1 Reactions
0 Replies
494 Views
Hili sina huruma nalo. Wananchi walio wengi huingizwa kwenye mkenge na viongozi hawa wa upande wa vyama vya upinzani na hata kuthubutu kuwaambia waandamane. Hivi sasa wamekaa kimya huwasikii...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Mwigulu Nchemba akiwa CCM kama Naibu Katibu Mkuu aliendesha siasa za kibabe na kupelekea kupotea kwa maisha ya watu Igunga, Arumeru na Olasiti huko Arusha. Akiwa Naibu Waziri wa Fedha alisimama...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Kama ukichunguza vizuri utagundua katika serikali iliyopita ya Dkt. JPM katika miaka yote ya uongozi wake kwa wastani kasi ukuaji wa uchumi ilikua ni zaidi ya asilimia 6.8 hadi 7. Na ni dhahiri...
1 Reactions
0 Replies
933 Views
Habari zenu wakuu. Leo Bungeni wakati wa kuwaapisha wabunge wateule, alitoa Nasaha kwa Mawaziri wateule kwenye mambo ya biashara na masuala ya Tamisemi akisema pamoja na miradi mikubwa ila...
0 Reactions
0 Replies
757 Views
Katibu mkuu kiongozi anafanya kazi gani? Kuna umuhimu wa mtu kuwepo kufanya kazi hiyo?
1 Reactions
79 Replies
26K Views
Inaonekana neno 'wanyonge' limeshika kasi katika matumizi yake hapa Tanzania, na kutumiwa sana na baadhi ya wakuu kabisa wa nchi. Kwa mujibu wa baadhi ya machapisho, 'wanyonge' maana yake ni...
6 Reactions
26 Replies
3K Views
MAHAKAMA Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi na Rushwa maarufu kama Mafisadi imesema kwamba mfanyabiashara Abdu Nsembo (45) na mke wake Shamimu Mwasha (41), wana kesi ya kujibu. Kadhalika, mahakama...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Kwa Africa au Tanzania imekuwa kinyume sana katika masuala ya usomi na siasa. Msomi alipaswa awe mtalaamu na jicho kuangalia mambo yanavyoenda. Imekuwa kinyume. Huku Tanzania msomi Daktari wa...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Akiwa Katibu Bashiru ndo alikuwa mtu pekee ndani ya CCM aliesema waziwazi kuwa CCM haitakubali Kumuongezea mda Rais Magufuli. Hata kama aliposema alikuwa hana nguvu ya kuzuia...iwapo maamuzi...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…