Askofu Gwajima: Rais Samia Suluhu ni Konki Fire

Gwajima aache kutuzingua hapa alikuwa kimya kwenye msiba sie tunampoteza mzee wetu halafu yeye anafufuaga wafu akaamua kupiga kimya huo ni ubaguzi mkubwa sana kwa nini anafufua wengine tu halafu wengine anapiga kimya mie sijapenda kabisa yaan!
 
Back
Top Bottom