Jeshi la Polisi leo April 2, 2021 wametoa ufafanuzi juu ya kauli waliyoitoa kuhusu shamra shamra za kusheherekea sikukuu za Pasaka.
‘Taarifa ya Jeshi la Polisi niliyoitoa jana (pamoja na mambo...
Leo naandika ni mwezi wa 3 mwaka 2021 Nchi ya Tanzania haina kiwanda cha;
~Mbolea
~Mbegu
~Utengenezaji matrekta.
Tunategemea kilimo kwa kiwango chote katika uzalishaji na fursa za kiuchumi...
Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la...
Ni muda wakusikia madini kutoka kwa Mhe. Tundu Lissu akiwa live VOA akichambua hoja na kujibu maswali mbalimbali kutoka katika chombo hiki cha kimataifa.
Karibu tumsikilize , nilitamana sana...
Nimemsikiliza huyu Prof nguli wa sheria toka nchini Kenya akizungumzia juu ya uzalendo wa hayati JPM juu ya kuwa kiongozi aliyekuwa kada wa CCM. Na kwa mujibu wa Prof Lumumba anadai CCM ni chama...
Does Prof. Patrick Loch Otieno Lumumba, PLO, remember his own countrymen...Paul Mboya and Robert Ouko?
I keep wondering what would have been the response from these two if the roles were...
Mabibi na mabwana kuna upotoshwaji wa wazi wa kilichotokea straight talk Africa jana.
Labda kwa sababu ya siku 21 za maombolezo ya msiba mkubwa tuliomo, Star TV hawakuyaonyesha kabisa mazungumzo...
Serikali ya Tanzania imesema ipo katika mchakato wa kufungua kesi ya kudai fidia ya pesa iliyotumika kuendeshea kesi ya Ndege ya ATCL, iliyokuwa ikishikiliwa nchini Afrika Kusini.
Akizungumza na...
Siku za hivi karibuni kumeibuka wimbi la waandishi, wanasiasa na raia wengine ambao inaonekana wamekunwa haswa na hatua au mwelekeo mpya chini ya Kiongozi mkuu mpya. Mjadala mkubwa umetokana na...
Jana nilimuelewa sana Katibu mkuu Kiongozi balozi Katanga.
Hakuna mafanikio ya serikali kama kila wizara itatenda kivyake na kutafuta sifa binafsi.
Ni lazima pawepo coordination baina ya wizara...
Binafsi nampongeza aliyekuwa mbunge wangu wa Iringa mjini mchungaji Msigwa kwa kutoyumba wala kuyumbishwa na siasa za kutamani madaraka.
Pamoja na kufuatwa jela na Mwenezi Polepole na kulipiwa...
Hayati alimteua na kumpa ubalozi lakini baada ya utawala mpya ametenguliwa kutoka katibu mkuu kiongozi
Je amevuliwa na ubalozi au bado ni. Balozi?
Wenye uelewa
Askafu Malasusa ameliongelea ilo leo katika misa ya ijumaa kuu huku akitolea mfano wa Hayati Magufuli kuwa hakuwa mwanasiasa bali alikuwa kiongozi na kama Taifa tuna chakujifunza, ameeleezea zaidi...
Jana ulisema akili itumike kukusanya mapato na si nguvu.
Hili suala la ongezeko la gharama za vifurushi vya simu nadhani ni nguvu imetumika si akili.
Kuna sababu nyingi za kuthibitisha kuwa ni...
ACT Wazalendo kusema watashiriki uchaguzi Kigoma kumpima Rais ni kuuadaa Umma wa Watanzania. Juzi wameshiriki uchaguzi Zanzibar, je walikuwa wanampima Rais?
Je, Rais ni msimamizi wa uchaguzi? Ni...
Huenda uchaguzi mkuu wa mwaka jana umeleta funzo kwa vyama vya upinzani. Maana sasa wanaonekana kupata funzo.
Jambo ambalo wanatakiwa kutambua ni kuwa tume huru ya uchaguzi ambayo itaendesha...
Maajabu haya!
Mtu ambaye walitaka kutuaminisha kuwa hakuwa anastahili kuwa mkuu wa majeshi...
Mtu ambaye tuliambiwa kapewa hiyo nafasi kwa sababu ya kabila lake la Kisukuma...
Mtu ambaye...
GWAJIBOY AKIMKARIBISHA JPM: Mheshimiwa Rais karibu sana jimbo la Kawe. Watu wa Kawe wamekusanyika hapa kwa wingi kukupongeza kwa kazi kubwa uliyowafanyia. Kwa miaka mitano ya uongozi wako umetatua...
Mbunge wa Jimbo la Dodoma Mjini Mh. Anthony Mavunde ameishukuru Serikali kupitia Wizara ya Nishati kwa kuanza rasmi kwa utekelezaji wa miradi ya usambazaji wa umeme kupitia miradi ya PERI URBAN...